Mjue Miguna aliyemuapisha Raila Odinga

Upuuzi kwa mujibu wa maono yako unayetumia hisia kuelewa mambo badala ya kusoma katiba yao
Nimesema....
Mio hakuweza kubali upuuzi wa aina hii, kwasababu sikuzote mamlaka lazima iheshimiwe. Na kitendo cha mpuuzi mmoja kumuapisha mpuuzi mwingine na kisha kuungwa mkono na wapuuzi kama wewe, huo ni upuuzi ulio tukuka
 
Huyu na Odinga ni wa kuweka ndani wanacheza na maisha ya watu hasa Kenya ambapo kitu kidogo tu watu wanaweza kuchinjana.

UK aendelee kuwaminya hivyo hivyo haya mambo ya sijui democracy isiyo na mipaka ni upuuuzi.
 
Nimesema....
Mio hakuweza kubali upuuzi wa aina hii, kwasababu sikuzote mamlaka lazima iheshimiwe. Na kitendo cha mpuuzi mmoja kumuapisha mpuuzi mwingine na kisha kuungwa mkono na wapuuzi kama wewe, huo ni upuuzi ulio tukuka
Hahahaha
 
Ila historia ya Miguna Miguna haijakamilika bila kurudi nyuma hadi enzi zile za Moi. Alipokuwa kiongozi wa wanafunzi University of Nairobi, UoN, hapo ilibidi atoroke Kenya kwa sababu ya vijana wa Moi, polisi wa kitengo cha Special Branch. Enzi hizo wakikudaka uhai wako kwishney. Mwili wako unaokotwa Ngong' Forest! Baada ya serikali ya nusu mkate kufanikishwa Miguna alikuwa mshauri wa Raila. Lakini walikosana miaka kadhaa baadaye alipofutwa kazi. Hapo ndo alianza majungu hadi akaandika vitabu viwili vya kumponda na kumtusi Raila. Humo ndani kulikuwa na siri kuhusu Raila, ufisadi, ulaji rushwa, hadi na Raila alivopenda michepuko. Ilibidi atoroke tena Canada kwasababu vijana wa chama cha Raila, ODM karibu wamuue. Vitabu venyewe ni Peeling back the mask na Kidneys for the King.
 
Anafanana sana na Mganga wa miti shamba na hilo kofia tena gaidi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…