Mjue Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kutoka Kyela

Sasa kumekuchaaaa sasa kumekuchaaa......
 
Awe muadilifu hata kama mbowe ataangushwa kwenye kura
 
..Lumuli Alipipi Kasyupa aliwahi kuwa Mbuge wa Kyela, na Naibu Waziri, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.
 
..Lumuli Alipipi Kasyupa aliwahi kuwa Mbuge wa Kyela, na Naibu Waziri, wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere.
Hakika, ila wakati ule hawakuitwa Naibu Waziri, Waliitwa Waziri mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…