Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
- Thread starter
-
- #21
Loose = enye kulegeayour loosing time for nothing
Hili nalo huwa ni tatizo maana badala ni Waze maendeleo ya familia nikufikirie na wewe tabia zako ambazo hasitabiriki zitakuwaje kwa muda huu na ule!! Ndo maana wakaimba wanaume tumeumbwa mateso..😀😎😎Ni ngumu kuwaelewa kama sisi wenyewe tulivyo ngumu kujielewa kwaiyo inabidi mtuchulie tu hivyohivyo tulivyo
Cc Kingsmann
Hili nalo huwa ni tatizo maana badala ni Waze maendeleo ya familia nikufikirie na wewe tabia zako ambazo hasitabiriki zitakuwaje kwa muda huu na ule!! Ndo maana wakaimba wanaume tumeumbwa mateso..[emoji3][emoji41][emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mlivyo na hekima ya kujibu mambo,muekwe ndani sasa hapo ndo utajua kwamba kikulacho ki nguoni mwako!!🏃🏃🏃Mwanaume ni kiongozi especially kwa mwanamke hivyo usichoke kumuongoza maana ukitengeneza kwake vingine vitaenda sawa automatic and vice versa
Cc Kingsmann
mbona umesahau kuwataja wale ambao wakikasirika wanaingia whatsapp na kuanza kujichatisha na wanaume wanaomshobokeaga, na kuanza kujichekesha chekesha kwa nguvu ili uumie.
yani kinachekecheka chenyewe kama kijinga.