Mjue mwanamke

Mjue mwanamke

Ni ngumu kuwaelewa kama sisi wenyewe tulivyo ngumu kujielewa kwaiyo inabidi mtuchulie tu hivyohivyo tulivyo

Cc Kingsmann
Hili nalo huwa ni tatizo maana badala ni Waze maendeleo ya familia nikufikirie na wewe tabia zako ambazo hasitabiriki zitakuwaje kwa muda huu na ule!! Ndo maana wakaimba wanaume tumeumbwa mateso..😀😎😎
 
Hili nalo huwa ni tatizo maana badala ni Waze maendeleo ya familia nikufikirie na wewe tabia zako ambazo hasitabiriki zitakuwaje kwa muda huu na ule!! Ndo maana wakaimba wanaume tumeumbwa mateso..[emoji3][emoji41][emoji41]

Mwanaume ni kiongozi especially kwa mwanamke hivyo usichoke kumuongoza maana ukitengeneza kwake vingine vitaenda sawa automatic and vice versa

Cc Kingsmann
 
mbona umesahau kuwataja wale ambao wakikasirika wanaingia whatsapp na kuanza kujichatisha na wanaume wanaomshobokeaga, na kuanza kujichekesha chekesha kwa nguvu ili uumie.
yani kinachekecheka chenyewe kama kijinga.
 
Mlivyo na hekima ya kujibu mambo,muekwe ndani sasa hapo ndo utajua kwamba kikulacho ki nguoni mwako!![emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu si wote tuko hivyo heshima inafata mkondo wake,wewe tuelewe tu

Cc Kingsmann
 
mbona umesahau kuwataja wale ambao wakikasirika wanaingia whatsapp na kuanza kujichatisha na wanaume wanaomshobokeaga, na kuanza kujichekesha chekesha kwa nguvu ili uumie.
yani kinachekecheka chenyewe kama kijinga.

Huyu anadondokea no:4 anakununia lkn kutwa kukurusha roho ujue bila wewe bado anaweza kuwa na furaha ila unamjua tu akifake

Cc Kingsmann
 
Back
Top Bottom