Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Nikiona hali inazidi huwa namtafutia kosa lolote ili iwe sababu/chambo cha kuruka nae hewani....mwenyewe hatimaye ataniomba msamaha, mbaaafff zake!
Shauri yake 😂
😂😂😂😂😂No 5 nikikasirika sanaaaaaa
No 2 nikikasirika kawaida.... Naweza ongea usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna ka x kamoja kalinikera nilianza kuongea saa tano ya usiku kanibembeleza weee wapiiiiii naongea tu akaona isiwe tabu kalala kimya, mie hapo naongea tu, kastuka saa tisa usiku kakuta bado naongea tu......
Nikikasirika kidogo nitakunyamazia hutaamini ( nusu bubu, ni mwendo wa ishara tu, nikikasirika sana kilio1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
No 5 nikikasirika sanaaaaaa
No 2 nikikasirika kawaida.... Naweza ongea usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna ka x kamoja kalinikera nilianza kuongea saa tano ya usiku kanibembeleza weee wapiiiiii naongea tu akaona isiwe tabu kalala kimya, mie hapo naongea tu, kastuka saa tisa usiku kakuta bado naongea tu......
Hii lugha hata pogba inamsumbua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No 5 nikikasirika sanaaaaaa
No 2 nikikasirika kawaida.... Naweza ongea usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna ka x kamoja kalinikera nilianza kuongea saa tano ya usiku kanibembeleza weee wapiiiiii naongea tu akaona isiwe tabu kalala kimya, mie hapo naongea tu, kastuka saa tisa usiku kakuta bado naongea tu......
Ninaishi na No7 siyo usingizi ni Ganja tu mkuu.Mkuu hujaeleweka rudia kuandika utakua upo usingizini
Cc Kingsmann
Kipaji hiko maaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nifundishe kuongea aisee.