Mjue mwanamke

Mjue mwanamke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bora dear ulivyofupisha jina mmojawapo mimi yaani ulikuwa unanipa shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
No 5 nikikasirika sanaaaaaa
No 2 nikikasirika kawaida.... Naweza ongea usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kuna ka x kamoja kalinikera nilianza kuongea saa tano ya usiku kanibembeleza weee wapiiiiii naongea tu akaona isiwe tabu kalala kimya, mie hapo naongea tu, kastuka saa tisa usiku kakuta bado naongea tu......
Hahahaha
 
Ila hiyo namba 3 umenikumbusha kuna kisa kimoja hivi mume na mke waligombana wakanuniana wakawa wanawasiliana kibubububu sasa imefika usiku mume akamuandikia mke ujumbe kwenye karatasi ukisema "niamshe saa 10 alfajiri"

Kweli mke akausoma wakalala muda ulipofika mke naye akamuandikia mume ujumbe kwenye karatasi ukisema "amka saa 10 alfajiri imefika" kwahiyo ngoma ikawa droo wahuni huwa wanasema mbwa kala mbwa yaani mbwai mbwai
 
No 13 ndo mm ila chozi lazima litoke la kutosha, hasira zikinishika biblia yangu itakoma, ukiona sasa hivi imechakaa vibaya naomba nalalamika, nalia nakuita mungu, vurugu tupu chumbani, nikitoka hapo, moyo wangu mweupe, kisuuzio ni movie kwa kwenda mbele.

Jamani ukikasirika wewe lia tu sumu itoke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa aliamkaje

Cc Kingsmann
 
No 13 ndo mm ila chozi lazima litoke la kutosha, hasira zikinishika biblia yangu itakoma, ukiona sasa hivi imechakaa vibaya naomba nalalamika, nalia nakuita mungu, vurugu tupu chumbani, nikitoka hapo, moyo wangu mweupe, kisuuzio ni movie kwa kwenda mbele.

Jamani ukikasirika wewe lia tu sumu itoke

Still bado no:1 inaplay part kwa wanawake wengi

Cc Kingsmann
 
Shida yatano kuna jirani hapa akigombana namkewe anahamisha watoto wallah anamchoma yoyote kisu. Yaani Mumewe yupo kama jambazi kwa kuchomwa visu na vigae[/QUOTE

afu watu wa namna hii hawaachani yaani ugomvi wao hauwamuliwi ingawa wanapigana kila mara

Cc @Kingsmamm
 
[emoji23][emoji23] haina kujifunza? Bana hata kipaji kinafundishika ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom