Mjue mwanamke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila bora dear ulivyofupisha jina mmojawapo mimi yaani ulikuwa unanipa shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahahaha
 
Ila hiyo namba 3 umenikumbusha kuna kisa kimoja hivi mume na mke waligombana wakanuniana wakawa wanawasiliana kibubububu sasa imefika usiku mume akamuandikia mke ujumbe kwenye karatasi ukisema "niamshe saa 10 alfajiri"

Kweli mke akausoma wakalala muda ulipofika mke naye akamuandikia mume ujumbe kwenye karatasi ukisema "amka saa 10 alfajiri imefika" kwahiyo ngoma ikawa droo wahuni huwa wanasema mbwa kala mbwa yaani mbwai mbwai
 
No 13 ndo mm ila chozi lazima litoke la kutosha, hasira zikinishika biblia yangu itakoma, ukiona sasa hivi imechakaa vibaya naomba nalalamika, nalia nakuita mungu, vurugu tupu chumbani, nikitoka hapo, moyo wangu mweupe, kisuuzio ni movie kwa kwenda mbele.

Jamani ukikasirika wewe lia tu sumu itoke
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa aliamkaje

Cc Kingsmann
 

Still bado no:1 inaplay part kwa wanawake wengi


Cc Kingsmann
 
 
[emoji23][emoji23] haina kujifunza? Bana hata kipaji kinafundishika ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…