Mjue mwanamuziki nguli wa R'n'B Avant

Mjue mwanamuziki nguli wa R'n'B Avant

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
Mtaalamu wa miondoko ya R&B anaitwa Myron Lavell Avant, maarufu kama Avant mzee wa "Separated"; "My First Love", bila kumsahau mwanadada KeKe Wyatt; na "Read Your Mind".

Kuzaliwa April 26, 1976 ( ana umri wa miaka 41), na eneo alikozaliwa na kukulia ni Cleveland, Ohio, United States

Jina lake kamili anaitwa : Myron Lavell Avant
Baadhi ya album na nyimbo zake zilizowahi kutamba na zitaendelea kusumbua ni hizi hapa :

1. Kutoka kwenye album ya Private Room iliyotoka mwaka 2003 zilikuwepo nyimbo lukuki kama vile Read Your Mind , Don't Take Your Love Away , Wanna Be na Wanna Be Close

2. You & I , 80 in a 30 Face The Music • 2013

3. Kutoka kwenye album ya Ecstasy iliyotoka mwaka 2002 zilikuwepo nyimbo pia kali kama vile Makin' Good Love , Don't Say No, Just Say Yes na Sorry

Pia aliendelea kutoa album nyingine kibao kama vile The letter ya mwaka 2010, Director ya mwaka 2006 , my thoughts ya mwaka 2000 , face the music ya mwaka 2013 bila kuisahau ile aliyoipa jina lake inayoitwa avant aliyoitoa mwaka 2008

4. When It Hurts Avant • 2008

5. My First Love , Separated
My Thoughts • 2000

6. Mr. Dream, This Is Your Night,4 Minutes ,Lie About Us
Director • 2006
15. Kiss Goodbye
The Letter • 2010
 
Lie about us. Acha kabisaaaa. [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Malover boy wa RNB!!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
4-minute na Lie about us ni hits za all time
 
Haumjui Avant wewe yaani haujaweka kabisa 4mins,you know what,lie about us ft Nicole ? Ila nilimkubali sana kwenye pini lake la 2002 au 3 Don't say no vixen alikuwa Olivia ex-gunit member.
 
Back
Top Bottom