Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Mkuu una mic? Kama unayo ni aina gani, nataka nichukue kwa ajili ka home studio kangu.
Natengeza beats groovepad halafu naingiza kwenye program nyingine naingiza vocal nafanya kama mixing kiaina natoa ngoma kali tu.
Sina mpango wa kuwa pro. Nafanya for fan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ninayo shure SM57 mkuu ila kwa sasa vocals nafanya kwenye simu tu na earphones za maanaMkuu una mic? Kama unayo ni aina gani, nataka nichukue kwa ajili ka home studio kangu.
Shukran mkuu, nimesuka mindundo kadhaa sasa nataka nianze kuzishughulikia.Mi ninayo shure SM57 mkuu ila kwa sasa vocals nafanya kwenye simu tu na earphones za maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii balaaa...kwanza lile talumbeta macochali alipiga balaaaKwamba Izo Bizness hana ngoma kali kuizidi "Ridhiwani"!?
Ile 'Bizness' ft Sumalee ni kali zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu, nimesuka mindundo kadhaa sasa nataka nianze kuzishughulikia.
Nah real alipita studio ya Kama Kawa Records kabla hakwenda studios nyengine. Nah real ana mtoto anaitwa Gold amezaa na Aika. Nah real alizinguana na Weusi sababu walikua wanarekodi bure kwake bila ya kumlipa alafu wao wanaenda kupiga show kwa pesa ndefu.
Baadhi ya Studios alizopita nah reel
Kamakawa Records
Hometown Records
Switch Records
Nah real kabla ya kuanzisha Navy Kenzo alikuwa group la Pah One wakiwemo Ola More Qarisma na Igwe. Aliishia kugombana nao na group kuvunjika baada ya wale vijana kutaka walipwe hela nyingi kwenye shoo kuliko yeye na Mpenzi wake.
Ngoma ya kwanza ya Nah Reel na Aika kufanya vizuri kwenye Media hasa Upande wa TV kabla hawajaungana pamoja na kuitwa NAVY KENZO baada yakuvunja kundi la Pah One iliitwa "Usinibwage"
Kesho mje na story ya Lamar wa fishcrab.
Hapana, natumia LMMS, ila nataka nitafute fl then nizisapmle upya. LMMS inaniyayusha vitu vingi.
Kumbe hii nyimbo waliimba wao 😂😂
HapanaYeah unaipeenda eeh?
Sijui kwa nini watu hulazimisha wengine waishi watakavyo.Kitendo cha nah reel kufanya kazi na WCB artists na kuperfom Wasafi Festival imesababisha mahusiano yake na Clouds Media kuvunjika. Nyimbo zake zimepigwa stop radio na tv.
Sijui kwa nini hutu hulazimisha wengine waishi watakavyo.
Labda wanatumia ile kanuni ya ' adui wa adui yako ni rafiki yako na rafiki wa adui yako ni adui yako'Media zetu hasa hizi kongwe zina roho mbaya sana wakishaona unajielewa na kujitambua tu baaas.