Mjue mwanamziki Nahreel

Mjue mwanamziki Nahreel

Nah real alipita studio ya Kama Kawa Records kabla hakwenda studios nyengine. Nah real ana mtoto anaitwa Gold amezaa na Aika. Nah real alizinguana na Weusi sababu walikua wanarekodi bure kwake bila ya kumlipa alafu wao wanaenda kupiga show kwa pesa ndefu.

Baadhi ya Studios alizopita nah reel

Kamakawa Records
Hometown Records
Switch Records

Nah real kabla ya kuanzisha Navy Kenzo alikuwa group la Pah One wakiwemo Ola More Qarisma na Igwe. Aliishia kugombana nao na group kuvunjika baada ya wale vijana kutaka walipwe hela nyingi kwenye shoo kuliko yeye na Mpenzi wake.

Ngoma ya kwanza ya Nah Reel na Aika kufanya vizuri kwenye Media hasa Upande wa TV kabla hawajaungana pamoja na kuitwa NAVY KENZO baada yakuvunja kundi la Pah One iliitwa "Usinibwage"






Kesho mje na story ya Lamar wa fishcrab.


Kumbe hii nyimbo waliimba wao 😂😂
 
Kitendo cha nah reel kufanya kazi na WCB artists na kuperfom Wasafi Festival imesababisha mahusiano yake na Clouds Media kuvunjika. Nyimbo zake zimepigwa stop radio na tv. Huyu mwamba kapitia mengi sema mkimya sana hazungumzii kabisa ishu zake dah.
 
Back
Top Bottom