jamii forum sio mbayaHaki yako. Ndio ubaya wa JF
Jf ina maficho mazuri sana. Ila usijali kuusu umri maana mtatutnga wengi.Kumbe ni hawa watoto wa juzi mkuu
Una uhakika gan kama huyu sio chapo?Ume copy kwa Chapo umeshindwa kumpa credit ,
Kwa sababu mhusika amelalamika huko 'twita'Una uhakika gan kama huyu sio chapo?
Nafuta kauli nmeona chapo kaumizwa na wizi wa andiko plz mkuu naomba umtaje mwenye bandiko lakeUna uhakika gan kama huyu sio chapo?
Natumia song maker naingiza vocal kwa earphone. Kuhusu namba hapana mzee baba sorry
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia Majani dogo yuleSasa kama anatokea familia ya kishua inakuwaje tena akawa amechoka vile ?
Ukiona hata video zake enzi za Pah One utaona alivyokuwa na hali tete.
Usinibwageeee ππKumbe hii nyimbo waliimba wao ππ
Usinibwageeee ππ
Kwamba nimezaliwa 1999?nashawishika kusema Mzee Wa Kale Kabisa na kajamaa kadogo ni mtu mmoja katika akaunti mbili...
hii haiwezi kuwa coincidence, nakataa!
Ipi hiyo?nashawishika kusema Mzee Wa Kale Kabisa na kajamaa kadogo ni mtu mmoja katika akaunti mbili...
hii haiwezi kuwa coincidence, nakataa!