Mjue mwanamziki Nahreel

Mjue mwanamziki Nahreel

Nahreal asipokuwekea utambulisho kwenye beat yake huwezi jua kapiga yeye tofauti na maproducer wengi wa kizazi hiki.


My All Time Producers

P Funk

Nahreal

Maneck

Mika Mwamba
 
P funk majani ni juha sana Yule jamaa but kuna ngoma moja tu ndiyo nilimuelewa

Pro jay =zali la mentali
 
Back
Top Bottom