kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
trust me sijawahi kuwa na ID zaidi ya mojanashawishika kusema Mzee Wa Kale Kabisa na kajamaa kadogo ni mtu mmoja katika akaunti mbili...
hii haiwezi kuwa coincidence, nakataa!
eeh usinibwage au unataka kunibwaga?Yaaaani eti usinibwage😂😂😂😂
Dogo wa zama za diamond na kiba huyo, ukimwambia kuhusu Mika Mwamba au P hatakuelewaWa muda wote?? Hebu fikiria vizuri
Aliniuzi sana kumzingua Profesa.P funk majani ni juha sana Yule jamaa but kuna ngoma moja tu ndiyo nilimuelewa
Pro jay =zali la mentali
I'd zako zimeunganishwa bro kajamaa kadogo, mzee wa kale kabisatrust me sijawahi kuwa na ID zaidi ya moja
Ntawezaje kupretend kaka
dah yani Aliniuzi mzee kwa sababu pro-jay ndiye msanii wangu bora wa muda woteAliniuzi sana kumzingua Profesa.
Sio kweliI'd zako zimeunganishwa bro kajamaa kadogo, mzee wa kale kabisa
Moja tu!?P funk majani ni juha sana Yule jamaa but kuna ngoma moja tu ndiyo nilimuelewa
Pro jay =zali la mentali
sawa mzee wa kaleSio kweli
Kabisa yani... Ndio maana nilimuuliza mwaka wake wa kuzaliwaDogo wa zama za diamond na kiba huyo, ukimwambia kuhusu Mika Mwamba au P hatakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba yeye ni wa 99 ndo hatakiwi kuchangia? Acha ubaguzi
ooh faza Nelly wewe msanii wako wa muda wote ni hamorapa ni kweli
mzee wa kale wewe hujui mziki pia naweza ku-prove why !Kabisa yani... Ndio maana nilimuuliza mwaka wake wa kuzaliwa
Haina haja ya ku proove, mimi sijui mziki kweli... Usipate tabu mdogo wangumzee wa kale wewe hujui mziki pia naweza ku-prove why !
Uko sahihi. Jamaa kwenye beats za hisia hana mpinzani. Anajua sana kupiga chords za hisia huyu jamaa.Maneck kwenye beat za slowly na rnb anaziwezea sana, kamtoa sana jux