Mjue mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji

Mjue mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Sir Lionel Luckhoo amezaliwa Machi 2, 1914 New Amsterdam na alifariki Desemba 12, 1997. Alikuwa mwana sheria kuanzia mwaka 1940 hadi 1985

Mwaka 1990 aliingia rasmi kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kama mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji ambapo alishinda kesi 245

Ni kesi chache wwateja wake walishindwa ambazo pia alishinda kwenye rufaa

Lionel_Luckhoo_(1968).jpg
 
Kwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.

Nimefanya moja tu ya jinai na jamaa alikuwa na life sentence na alitoka sasa anakula ugali wake mtaani.

Mnashindaje hizo kesi kuna namna ya kutoa rushwa?
 
Hapana mkuu, ni karama tu Mungu anatoa,

Ukinipa kesi yako nikiistudy kwa muda nakuambia hapa tunatoka au hapana.

Ni karama tu toka kwa Mungu pekee.

Mfano kipaji cha Mesi au Mayweather ile inakua kama hivyo.
Ok...we mwanasheria mzee baba

Ova
 
Hapana mkuu, ni karama tu Mungu anatoa,

Ukinipa kesi yako nikiistudy kwa muda nakuambia hapa tunatoka au hapana.

Ni karama tu toka kwa Mungu pekee.

Mfano kipaji cha Mesi au Mayweather ile inakua kama hivyo.
mkuu nina kesi ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii, unaweza kunisaidia nikachomoka? au ndio gharama zako kubwa
 
Kwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.

Nimefanya moja tu ya jinai na jamaa alikuwa na life sentence na alitoka sasa anakula ugali wake mtaani.
Issue sio kujua vifungu vya sheria, bali ni kujua mazingira ya kosa na kufanya maamuzi sahihi...sheria ukitaka utatunga kila siku...Mfano family law...isomeni kwa makini mtajua kama haituhusu au inatuhusu na tulicopy wapi na kupest wapi...
 
mkuu nina kesi ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii, unaweza kunisaidia nikachomoka? au ndio gharama zako kubwa
Huwa sifanyi kesi za jinai mkuu nafanya madai, ardhi na nyinginezo.

Yeyote isipokuwa ya jinai.
 
Kwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.

Nimefanya moja tu ya jinai na jamaa alikuwa na life sentence na alitoka sasa anakula ugali wake mtaani.
una safari ndefu kuifikia rekodi ya jamaa
 
una safari ndefu kuifikia rekodi ya jamaa
Ni kweli mkuu maana mpaka kumaliza kesi moja shughuli yake sio ndogo na mahakama zetu hizi, unakwenda leo hakimu hayupo taarifa hakuna mnarudi mwezi ujao kalenda tena, majanga tupu.

Wao huko trial mnapiga hata wiki tu mnamaliza.
 
Back
Top Bottom