Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Aah wapi, alikuwa zake duniani hukoAnapatikana bongo au
Kwa bongo je ?
Msando hata kijana wa Lushoto (IJA) anamzidi kwa kuielewa sheriaAlbert Msando
Huyo kanjanjaaAlbert Msando
Kwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.Kwa bongo je ?
Kwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.
Nimefanya moja tu ya jinai na jamaa alikuwa na life sentence na alitoka sasa anakula ugali wake mtaani.
Hapana mkuu, ni karama tu Mungu anatoa,Mnashindaje hizo kesi kuna namna ya kutoa rushwa?
Ok...we mwanasheria mzee babaHapana mkuu, ni karama tu Mungu anatoa,
Ukinipa kesi yako nikiistudy kwa muda nakuambia hapa tunatoka au hapana.
Ni karama tu toka kwa Mungu pekee.
Mfano kipaji cha Mesi au Mayweather ile inakua kama hivyo.
mkuu nina kesi ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii, unaweza kunisaidia nikachomoka? au ndio gharama zako kubwaHapana mkuu, ni karama tu Mungu anatoa,
Ukinipa kesi yako nikiistudy kwa muda nakuambia hapa tunatoka au hapana.
Ni karama tu toka kwa Mungu pekee.
Mfano kipaji cha Mesi au Mayweather ile inakua kama hivyo.
Issue sio kujua vifungu vya sheria, bali ni kujua mazingira ya kosa na kufanya maamuzi sahihi...sheria ukitaka utatunga kila siku...Mfano family law...isomeni kwa makini mtajua kama haituhusu au inatuhusu na tulicopy wapi na kupest wapi...Kwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.
Nimefanya moja tu ya jinai na jamaa alikuwa na life sentence na alitoka sasa anakula ugali wake mtaani.
Huwa sifanyi kesi za jinai mkuu nafanya madai, ardhi na nyinginezo.mkuu nina kesi ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii, unaweza kunisaidia nikachomoka? au ndio gharama zako kubwa
una safari ndefu kuifikia rekodi ya jamaaKwa miaka 7 nimeshinda kesi 30 , nimeshindwa 2 moja nikachomoa kwenye rufani.
Nimefanya moja tu ya jinai na jamaa alikuwa na life sentence na alitoka sasa anakula ugali wake mtaani.
Cha msingi we mweleze ukweli tu Kama umeua ama unasingiziwa. Ila kwenye kesi hizi mawakiri na majaji huwa wanavuta mpinga mrefu sana ili kupindua kesi
Ni kweli mkuu maana mpaka kumaliza kesi moja shughuli yake sio ndogo na mahakama zetu hizi, unakwenda leo hakimu hayupo taarifa hakuna mnarudi mwezi ujao kalenda tena, majanga tupu.una safari ndefu kuifikia rekodi ya jamaa
Umenikumbusha mbali mkuuMsando hata kijana wa Lushoto (IJA) anamzidi kwa kuielewa sheria