Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

Na Mimi nilishawahi sikia story ya mwamba fulani eti alijaribu kumuiga Yesu eti na yeye alitaka kufunga kwa siku 40 mfululizo bila ya kula chochote.

Jamaa alijitahidi akafiq kwenye siku ya 25 tu😂
10 akafa alikua Padri/Mchungaji
 
Pana nabii alimuiga Yesu kutembea juu ya maji akazama akafa
 
Biblia version inayokuja mwaka 2050 mwamposa atakuwa ndani kama mtume .kila kitu connection tu
 
Pengine huyo mtumishi Biblia yake ilikuwa imefuta sehemu Aya hizi;

(Matayo 4:5‭-‬7 );
5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,

6 akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

7 Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
 

Au in simpler terms, Mungu hayupo
 
MUNGU akatuma malaika wake wakaenda kuwazuia Simba kumfanya chochote Daniel na kumuwekea ulinzi. Na kweli alikaa muda mrefu na hao simba wenye njaa kali .
Kwahiyo usifananishe haya matukio ya wahuni wa imani na matukio halisi ya simulizi za bible ambazo zimezingatia umakini wa kiimani.
o.

Umejuaje simulizi za bible ni za kweli na uhalisia?
 
Kwahiyo wale bushmen wa porini wanaofukuza Simba na kuwanyang’anya nyama nao wanafanya miujiza? Utaahira mwingine bhana
 
Za kuambiwa alishindwa kuchanganya na za kwake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…