Mjue Nayb Bukele aka "Mkono wa Chuma" Rais wa El Salvador

We naye hakuna unacho jua ndio madhara ya ku copy habari, sasa umewaacha wajinga humu wadhania kwamba labda anawaua wahalifu kumbe katika njia za kuoambana na wahalifu hajawahi ua ila kafanimiwa kukamata maganhmgster zaidi ya 30,0000/
Huyu aliweka amari ya hatari au alitangaza amri ya hatari, na pia alitumia njia nyingi ikiwemo kukata source of income hasa biashara za madawa ya kulevya za hayo makundi. Wale wafashili wa kuu wa magangster nao walikamatwa, na wale wanao kamatwa hupigwa chata wote ambazo hazifutiki kamwe hata wakitoroka bado watakamatwa tu.
Mbinu nzuri hii!!!
 
Kajenga bonge la gereza,South America hakuna linalifikia kwa kuchukua watu wengi na mlinzi wake ni mkali...now lina wafungwa kama 15k na nafasi ipo ya kutosha imebaki inawasubiri wengine.
Nadhani ni hatari sana...kuweka pamoja wahalifu kwa wingi huo pamoja labda Kuna madawa anawanywesha...!
 
We naye hakuna unacho jua ndio madhara ya ku copy habari, sasa umewaacha wajinga humu wadhania kwamba labda anawaua wahalifu kumbe katika njia za kuoambana na wahalifu hajawahi ua ila kafanimiwa kukamata maganhmgster zaidi ya 30,0000/
Huyu aliweka amari ya hatari au alitangaza amri ya hatari, na pia alitumia njia nyingi ikiwemo kukata source of income hasa biashara za madawa ya kulevya za hayo makundi. Wale wafashili wa kuu wa magangster nao walikamatwa, na wale wanao kamatwa hupigwa chata wote ambazo hazifutiki kamwe hata wakitoroka bado watakamatwa tu.
NwafrikA yeye anawaza kuua tu. Kuna watu wana roho za kishetani hapo juu walishakuwa wanawaza Shaba tu.

Mtu anayetumia shaba kuua ni mtu dhaifu ambaye huwa hadumu ktk nyazifa yake
 
Haiti pia inatakiwa ipate Rais muhuni kama huyu ndio itatulia.

MIaka ya 2000,s kuna bro alikua anakata mtumba pale mtaa wa Congo,vibaka wakawa wanamuibia.Alichofanya akimaliza kukata mabalo ya mtumba anawapa kazi wale vibaka wapige debe,Tokea hapo akuibiwa tena nguo.
 
Back
Top Bottom