Mjue Nayb Bukele aka "Mkono wa Chuma" Rais wa El Salvador

Mbinu nzuri hii!!!
 
Kajenga bonge la gereza,South America hakuna linalifikia kwa kuchukua watu wengi na mlinzi wake ni mkali...now lina wafungwa kama 15k na nafasi ipo ya kutosha imebaki inawasubiri wengine.
Nadhani ni hatari sana...kuweka pamoja wahalifu kwa wingi huo pamoja labda Kuna madawa anawanywesha...!
 
NwafrikA yeye anawaza kuua tu. Kuna watu wana roho za kishetani hapo juu walishakuwa wanawaza Shaba tu.

Mtu anayetumia shaba kuua ni mtu dhaifu ambaye huwa hadumu ktk nyazifa yake
 
Haiti pia inatakiwa ipate Rais muhuni kama huyu ndio itatulia.

MIaka ya 2000,s kuna bro alikua anakata mtumba pale mtaa wa Congo,vibaka wakawa wanamuibia.Alichofanya akimaliza kukata mabalo ya mtumba anawapa kazi wale vibaka wapige debe,Tokea hapo akuibiwa tena nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ