Mjue Raia Muuza mitumba aliyeua CCM Iringa bila huruma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
_The past is a place of reference, not a place of residence._ ( 640 X 640 ).jpg

Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi .

CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa Iringa ( sasa hivi yuko Njombe ) , hii ni kwa sababu hawajawahi kuisaidia Iringa kwa namna yoyote ile , walijali kuabudiwa na kutetemekewa huku wakiwapuuza wananchi , kwao dhiki ndio uadilifu , hizi ni fikra mgando .

Lingine lililochangia kuuawa kwa ccm Iringa ni kuibuka kwa Kijana Mahiri wa kisasa aitwaye Msigwa , kuibuka kwa huyu jamaa na kuanza kufundisha wananchi kutambua haki zao , jambo ambalo amelifanya bila uoga wowote limewapa wananchi wa Iringa ujasiri na kuanza kutambua kwamba kumbe ule umasikini wa kutupwa uliowafanya kuitwa jina la aibu la Wanyonge haukuletwa na Mungu , umeletwa na ccm ili kuendelea kuwahonga wananchi Ulanzi badala ya maendeleo .

Kijana huyu Muuza mitumba na vipochi vya akina dada ambaye baadaye akapewa upako wa uchungaji ndio tunu ya Iringa iliyoletwa na Mungu mwenyewe baada ya kuwahurumia wananchi , HUYU NDIO MUUAJI WA CCM IRINGA , lakini uuwaji wake ni uuwaji wa heri .

Kujaribu kutumia polisi kumdhibiti Mtu aliyetumwa na Mungu " kuwakomboa wana wa Israel " haitafanikiwa na ni kujitafutia laana ya bure
 
Msigwa bhana...ila wewe ni kichwa sana. Ulitia aibu tu siku ile ulipokuwa unajinyenyekeza kwa mtekaji na muuaji alipokuja kufanya ziara mkoani kwako...yaani unatetemeka kabisa mbele ya mzee meko???!!!
 
Hukumwelewa Msigwa , huyu mtu hajawahi kumtetemekea mtu , unapokula na kipofu usimshike mkono
 
View attachment 1245054

Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi .

CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa Iringa ( sasa hivi yuko Njombe ) , hii ni kwa sababu hawajawahi kuisaidia Iringa kwa namna yoyote ile , walijali kuabudiwa na kutetemekewa huku wakiwapuuza wananchi , kwao dhiki ndio uadilifu , hizi ni fikra mgando .

Lingine lililochangia kuuawa kwa ccm Iringa ni kuibuka kwa Kijana Mahiri wa kisasa aitwaye Msigwa , kuibuka kwa huyu jamaa na kuanza kufundisha wananchi kutambua haki zao , jambo ambalo amelifanya bila uoga wowote limewapa wananchi wa Iringa ujasiri na kuanza kutambua kwamba kumbe ule umasikini wa kutupwa uliowafanya kuitwa jina la aibu la Wanyonge haukuletwa na Mungu , umeletwa na ccm ili kuendelea kuwahonga wananchi Ulanzi badala ya maendeleo .

Kijana huyu Muuza mitumba na vipochi vya akina dada ambaye baadaye akapewa upako wa uchungaji ndio tunu ya Iringa iliyoletwa na Mungu mwenyewe baada ya kuwahurumia wananchi , HUYU NDIO MUUAJI WA CCM IRINGA , lakini uuwaji wake ni uuwaji wa heri .

Kujaribu kutumia polisi kumdhibiti Mtu aliyetumwa na Mungu " kuwakomboa wana wa Israel " haitafanikiwa na ni kujitafutia laana ya bure

Huwa najiuliza...... bila ya upinzani imara Tanzania, leo hii nchi ingekuwaje?

Yeyote anayepiga vita upinzani imara hana tofauti na mwizi wa mali ya umma.
 
View attachment 1245054

Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi .

CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa Iringa ( sasa hivi yuko Njombe ) , hii ni kwa sababu hawajawahi kuisaidia Iringa kwa namna yoyote ile , walijali kuabudiwa na kutetemekewa huku wakiwapuuza wananchi , kwao dhiki ndio uadilifu , hizi ni fikra mgando .

Lingine lililochangia kuuawa kwa ccm Iringa ni kuibuka kwa Kijana Mahiri wa kisasa aitwaye Msigwa , kuibuka kwa huyu jamaa na kuanza kufundisha wananchi kutambua haki zao , jambo ambalo amelifanya bila uoga wowote limewapa wananchi wa Iringa ujasiri na kuanza kutambua kwamba kumbe ule umasikini wa kutupwa uliowafanya kuitwa jina la aibu la Wanyonge haukuletwa na Mungu , umeletwa na ccm ili kuendelea kuwahonga wananchi Ulanzi badala ya maendeleo .

Kijana huyu Muuza mitumba na vipochi vya akina dada ambaye baadaye akapewa upako wa uchungaji ndio tunu ya Iringa iliyoletwa na Mungu mwenyewe baada ya kuwahurumia wananchi , HUYU NDIO MUUAJI WA CCM IRINGA , lakini uuwaji wake ni uuwaji wa heri .

Kujaribu kutumia polisi kumdhibiti Mtu aliyetumwa na Mungu " kuwakomboa wana wa Israel " haitafanikiwa na ni kujitafutia laana ya bure
Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.

Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
 
Duh

Ikawaje mkamuacha aiteketeze ccm hadi kiwango cha majivu ?
 
Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.

Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
Rekebisha. Singasinga alikuwa akiishi karibu na kiwanda Cha dabaga chill souce na Msigwa alikuwa alikuwa mitaa ya posts na siyo mantigo!
 
Seth tulikuwa naye pale karibu na Chana garage......jirani na zile kota za akina Six Kibassa.

Msigwa najua meza yake ya mitumba ilikuwa pale stand ya miyomboni alikuwa anashare na jamaa mmoja wa Disco sana alikuwa anaitwa aka Wagada.
Alikokuwa anaishi sikujui kwa wakati ule ila aliporejea kutoka SA aliishi pale jirani na Ruaha International kwenye nyumba ya Prof Mbwambo kabla hajahamia alikojenga Mkimbiizi sijui Nduli!
 
Back
Top Bottom