Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hukumwelewa Msigwa , huyu mtu hajawahi kumtetemekea mtu , unapokula na kipofu usimshike mkonoMsigwa bhana...ila wewe ni kichwa sana. Ulitia aibu tu siku ile ulipokuwa unajinyenyekeza kwa mtekaji na muuaji alipokuja kufanya ziara mkoani kwako...yaani unatetemeka kabisa mbele ya mzee meko???!!!
View attachment 1245054
Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi .
CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa Iringa ( sasa hivi yuko Njombe ) , hii ni kwa sababu hawajawahi kuisaidia Iringa kwa namna yoyote ile , walijali kuabudiwa na kutetemekewa huku wakiwapuuza wananchi , kwao dhiki ndio uadilifu , hizi ni fikra mgando .
Lingine lililochangia kuuawa kwa ccm Iringa ni kuibuka kwa Kijana Mahiri wa kisasa aitwaye Msigwa , kuibuka kwa huyu jamaa na kuanza kufundisha wananchi kutambua haki zao , jambo ambalo amelifanya bila uoga wowote limewapa wananchi wa Iringa ujasiri na kuanza kutambua kwamba kumbe ule umasikini wa kutupwa uliowafanya kuitwa jina la aibu la Wanyonge haukuletwa na Mungu , umeletwa na ccm ili kuendelea kuwahonga wananchi Ulanzi badala ya maendeleo .
Kijana huyu Muuza mitumba na vipochi vya akina dada ambaye baadaye akapewa upako wa uchungaji ndio tunu ya Iringa iliyoletwa na Mungu mwenyewe baada ya kuwahurumia wananchi , HUYU NDIO MUUAJI WA CCM IRINGA , lakini uuwaji wake ni uuwaji wa heri .
Kujaribu kutumia polisi kumdhibiti Mtu aliyetumwa na Mungu " kuwakomboa wana wa Israel " haitafanikiwa na ni kujitafutia laana ya bure
Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.View attachment 1245054
Ukweli unaozunguka duniani unaonyesha kwamba Ukikataliwa Mjini ni sawa na kukataliwa kila mahali , bali huko vijijini na kwingineko unaweza kulazimisha kukubalika hata kwa kupora ushindi .
CCM imekataliwa kabisa Iringa Mjini na vijijini , pamoja na viongozi wakubwa kama Mangula kutokea Mkoa wa Iringa ( sasa hivi yuko Njombe ) , hii ni kwa sababu hawajawahi kuisaidia Iringa kwa namna yoyote ile , walijali kuabudiwa na kutetemekewa huku wakiwapuuza wananchi , kwao dhiki ndio uadilifu , hizi ni fikra mgando .
Lingine lililochangia kuuawa kwa ccm Iringa ni kuibuka kwa Kijana Mahiri wa kisasa aitwaye Msigwa , kuibuka kwa huyu jamaa na kuanza kufundisha wananchi kutambua haki zao , jambo ambalo amelifanya bila uoga wowote limewapa wananchi wa Iringa ujasiri na kuanza kutambua kwamba kumbe ule umasikini wa kutupwa uliowafanya kuitwa jina la aibu la Wanyonge haukuletwa na Mungu , umeletwa na ccm ili kuendelea kuwahonga wananchi Ulanzi badala ya maendeleo .
Kijana huyu Muuza mitumba na vipochi vya akina dada ambaye baadaye akapewa upako wa uchungaji ndio tunu ya Iringa iliyoletwa na Mungu mwenyewe baada ya kuwahurumia wananchi , HUYU NDIO MUUAJI WA CCM IRINGA , lakini uuwaji wake ni uuwaji wa heri .
Kujaribu kutumia polisi kumdhibiti Mtu aliyetumwa na Mungu " kuwakomboa wana wa Israel " haitafanikiwa na ni kujitafutia laana ya bure
Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.
Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
Ikawaje mkamuacha aiteketeze ccm hadi kiwango cha majivu ?Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.
Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
Hahahaaa........Msigwa aliachwa pale kimkakati zaidi baada ya ile ziara aliyoifanya ANC kule bondeni SA kwa hisani ya CCMIkawaje mkamuacha aiteketeze ccm hadi kiwango cha majivu ?
Rekebisha. Singasinga alikuwa akiishi karibu na kiwanda Cha dabaga chill souce na Msigwa alikuwa alikuwa mitaa ya posts na siyo mantigo!Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.
Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
Seth tulikuwa naye pale karibu na Chana garage......jirani na zile kota za akina Six Kibassa.Rekebisha. Singasinga alikuwa akiishi karibu na kiwanda Cha dabaga chill souce na Msigwa alikuwa alikuwa mitaa ya posts na siyo mantigo!
Lakini unashabikia vibaka wa CCM mpaka leo.Something's wrong with your upper "pumpkin"!Peter katuuzia sana Cadet za shule tulipokuwa The highlands......meza yake ilikuwa pale Miyomboni......enzi za Mnange bus na Jahangir.
Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
huyu analipwa , namfahamu ila simlipui kwa sababu hana madharaLakini unashabikia vibaka wa CCM mpaka leo.Something's wrong with your upper "pumpkin"!
Unamaanisha nini?Mpaka umri huo haujui kwamba binadamu hukua na kubadilika umbo la mwili,akili na mengineyo?Mbona Huyo msigwa muuza mitumba na huyu msiba mbunge hawafanani ranging kabisa
swali la kijinga sana !Mbona Huyo msigwa muuza mitumba na huyu msiba mbunge hawafanani ranging kabisa
Umetumia busara sana mkuu.Mwache tu aendelee kucheza drafti hadi "fingertips" zigangamale!huyu analipwa , namfahamu ila simlipui kwa sababu hana madhara
I always admire your comments sir, big up mkuu, weekend jemaUpinzani ulishushwa na mungu kwaajili ya wokovu, CCM ilishushwa na shetani kwaajili ya kuwataabisha raia.