Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,173
Mbona Huyo msigwa muuza mitumba na huyu msiba mbunge hawafanani ranging kabisa
Umenikumbusha singa singa wa Escrow Sigh Seth singacsinga mhehe wa Iringa mtoto wa mwenye kampuni ya Ujenzi ya Iringa ya Ruaha Concrete company (RCC) ya Iringa.Ofisi zao zikikuwa pale karibu na Railways Iringa karibu na ghala la National milling nyuma ya hotel ya Isimila hotel.Nilishawahi kwenda ofisi zao kwa assignment fulani.Sijui bado wapo pale?Kipindi hicho singasinga wa escrow alikuwa akiishi jirani na General tyre!
Wewe unamjua vizuri......nimekukubali!Umenikumbusha singa singa wa Escrow Sigh Seth singacsinga mhehe wa Iringa mtoto wa mwenye kampuni ya Ujenzi ya Iringa ya Ruaha Concrete company (RCC) ya Iringa.Ofisi zao zikikuwa pale karibu na Railways Iringa karibu na ghala la National milling nyuma ya hotel ya Isimila hotel.Nilishawahi kwenda ofisi zao kwa assignment fulani.Sijui bado wapo pale?
vipi kuhusu msigwa kuiteketeza ccm Iringa huku akiwashinda hoja akina Mangula , kasesera , mwakalebela na Mahiga ? sijamtaja Hapi maana huyu ni dagaa tuWewe unamjua vizuri......nimekukubali!
CCM haijateketea Iringa tatizo ni wasemaji wake ndio siyo makini.vipi kuhusu msigwa kuiteketeza ccm Iringa huku akiwashinda hoja akina Mangula , kasesera , mwakalebela na Mahiga ? sijamtaja Hapi maana huyu ni dagaa tu
Ni mkwewe wameoleanaMsigwa bhana...ila wewe ni kichwa sana. Ulitia aibu tu siku ile ulipokuwa unajinyenyekeza kwa mtekaji na muuaji alipokuja kufanya ziara mkoani kwako...yaani unatetemeka kabisa mbele ya mzee meko???!!!
kumbe kauwaje ?nikajua jamaa kaua kweli...!!
wewe noma sana mkuuAkili hizi ndio mtaji wa ccm
na ndio unaona huyu jiwe anafanya kila namna kuua upizani, lakini hakuna siku shetani asaweza kumushinda munguHuwa najiuliza...... bila ya upinzani imara Tanzania, leo hii nchi ingekuwaje?
Yeyote anayepiga vita upinzani imara hana tofauti na mwizi wa mali ya umma.
Ameeenna ndio unaona huyu jiwe anafanya kila namna kuua upizani, lakini hakuna siku shetani asaweza kumushinda mungu