Mjue refa Martin Saanya

Mjue refa Martin Saanya

Kuendelea kumtumia Martin Sanya bora wachezaji wacheze pekee yao.

Ni kijamaa fulani kipuuzi ila kinashindwa kujitambua.
 
Je Refa aliye sema ni off side,mechi ya KMC na Simba yeye yuko wapi au ndo kunya anye kuku bata akinya ameharisha.
 
Martin Saanya ni refa aliyewahi kuchezesha mechi ya Simba vs Yanga ambayo ilileta utata akafungiwa kwa kushindwa kumudu pambano hilo Either kwa kushindwa kutafsiri sheria au mapenzi.
Siku hiyo Martin alikataa Goli la Ajibu clear na kukubari goli la Mkono la Tambwe.

Hakuishia hapo katika mechi hiyo alimpa kadi nyekundu Jonas Mkude kadi ambayo baadaye tff waliibatilisha, ila alikuja kushangazwa na goli la kona la chakaramu Sinza kichuya.
MAAJABU YA JANA MECHI YA YANGA VS RUVU WAZEE WA MPAPASO NOTO.

JANA HUYO HUYO
AJABU.
Yanga walifanya faulo 18 hakuna kadi hata moja.Ruvu walifanya faulo 17 kadi za njano 5.

NB
HUYO NDIYE MARTIN SAANYA ALIYEWANYIMA GOLI LA HALALI RUVU SHOOTING. TUNAOMBA TFF IANZE NA YEYE MARA MOJA ILI WENGINE WAOGOPE
Naamini umesikika kiongozi.

Wewe ni mpenzi wa timu ipi hapa bongo?
 
Mikia mmeanza kutisha ma refa. Kuhonga na mbeleko ya TFF havitoshi?
Haji kawatuma au akili zenu?
 
Huyu refa is an idiot, nashangaa eti ana begi ya FIFA!!! Hizi ndio takataka zinazoitia aibu nchi. Alishindwaje kuona kwamba lile goli walilofunga Geita Gold lilikuwa goli halali? Why didn't he consult the nearby linesman?
 
Miamala Kiongozi. Anasomesha watoto, anajenga, anataka starehe kama binadamu wengine 😂😂😂
 
Huyu refa is an idiot, nashangaa eti ana begi ya FIFA!!! Hizi ndio takataka zinazoitia aibu nchi. Alishindwaje kuona kwamba lile goli walilofunga Geita Gold lilikuwa goli halali? Why didn't he consult the nearby linesman?
Maelekezo kaka
 
Back
Top Bottom