Ndio walewale tuMmh wanazidi wale jamaa ambao msemaji alibeba Tv ya familia kabisa watoto wakakosa kuangalia Tom and Jerry ili aoneshe ushahidi walivyoonewa mbeke ya wanahabari.
Naamini umesikika kiongozi.Martin Saanya ni refa aliyewahi kuchezesha mechi ya Simba vs Yanga ambayo ilileta utata akafungiwa kwa kushindwa kumudu pambano hilo Either kwa kushindwa kutafsiri sheria au mapenzi.
Siku hiyo Martin alikataa Goli la Ajibu clear na kukubari goli la Mkono la Tambwe.
Hakuishia hapo katika mechi hiyo alimpa kadi nyekundu Jonas Mkude kadi ambayo baadaye tff waliibatilisha, ila alikuja kushangazwa na goli la kona la chakaramu Sinza kichuya.
MAAJABU YA JANA MECHI YA YANGA VS RUVU WAZEE WA MPAPASO NOTO.
JANA HUYO HUYO
AJABU.
Yanga walifanya faulo 18 hakuna kadi hata moja.Ruvu walifanya faulo 17 kadi za njano 5.
NB
HUYO NDIYE MARTIN SAANYA ALIYEWANYIMA GOLI LA HALALI RUVU SHOOTING. TUNAOMBA TFF IANZE NA YEYE MARA MOJA ILI WENGINE WAOGOPE
Hongera tff kwa kumhukumu huyu muamuziMikia mmeanza kutisha ma refa. Kuhonga na mbeleko ya TFF havitoshi?
Haji kawatuma au akili zenu?
Naamini umesikika kiongozi.
Wewe ni mpenzi wa timu ipi hapa bongo?
Kweli wewe redio.Na ile Kona aliyopiga kichuya na kufunga mojakwamoja ulijiuliza ule mpira kabla ya Kona ilikuaje!! Ilikuaje Kona wakati hakuna mchezaji wa yanga aliye ugusa?
Miamala Kiongozi. Anasomesha watoto, anajenga, anataka starehe kama binadamu wengine πππHuyu refa is an idiot, nashangaa eti ana begi ya FIFA!!! Hizi ndio takataka zinazoitia aibu nchi. Alishindwaje kuona kwamba lile goli walilofunga Geita Gold lilikuwa goli halali? Why didn't he consult the nearby linesman?
Maelekezo kakaHuyu refa is an idiot, nashangaa eti ana begi ya FIFA!!! Hizi ndio takataka zinazoitia aibu nchi. Alishindwaje kuona kwamba lile goli walilofunga Geita Gold lilikuwa goli halali? Why didn't he consult the nearby linesman?
Huyu ndie aliyechezesha mechi kato ya Simba na Deita Gold, na akavurundaMaelekezo kaka