misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Le profesa amefundisha kipindi fulani UDSM paleHuyo wamba dia sijawahi msikia lakini unaeza dondosha nondo kumuhusu
Afu vipi jamaa anasemaje kuhusu watoto wa kongolu wako wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le profesa amefundisha kipindi fulani UDSM paleHuyo wamba dia sijawahi msikia lakini unaeza dondosha nondo kumuhusu
Afu vipi jamaa anasemaje kuhusu watoto wa kongolu wako wapi ?
Huyu mzee chotara na ana pesa sanaNimemsikia sana ila simfahamu
Wale jamaa wanajuana na watu wengi mno mfano fally hua anataja mpaka watu wa abidjan
Ila ninayemjua ni andre kimbuta ambaye ni gavana wa jiji la kinshasa
Ndio maana anatajwa sana kumbeHuyu mzee chotara na ana pesa sana
Yes na hizo picha ndio Adam bombole mwenyewe ( na mabinti(watoto wake) warembo sana)Ndio maana anatajwa sana kumbe
Kongolu amefanana na mama yake, hawa watoto walisoma Ufarasa na Concorde iliwarudisha Zaire kila Ijumaa baaada ya masomo na Jumatatu asubuhi waliwahi shule.
Lucas Mobutu kwani bwana wewe ni mtoto wa mke yupi wa mobutu sese seko!?
Kweli eeh Amida Shatul?..Huu Uzi mzuri
Ni mmoja wa maprofessor waliofundisha Udsm miaka ya nyuma@BigBro,Huyo wamba dia sijawahi msikia lakini unaeza dondosha nondo kumuhusu
Afu vipi jamaa anasemaje kuhusu watoto wa kongolu wako wapi ?
Vp mdau bado hujapata details zaokaka yAke kongulu aliitwa nyiwa Mobutu,huyu Alizaliw 55 alikufa 94 kwa ngoma,dada zake kongulu kwa sasa wawili wapo Belgium ktk mji wa Waterloo
mwezi ujao nitaenda ubelgiji nitahakikisha napata details zao
Kimya mdauMno
Nitayaleta mengine
Nimemtumia ujumbe juzi mlinzi wake ila mpaka sasa hajanijibu
Bila shaka itakuwa ni kampuni ya Merzalio ya malori hii ipo kule mbele ya mchicha (kiwalani).Hata hapa bongo ipo kampuni yake nimeisahau tu jina
Noma sana!Kongolu amefanana na mama yake, hawa watoto walisoma Ufarasa na Concorde iliwarudisha Zaire kila Ijumaa baaada ya masomo na Jumatatu asubuhi waliwahi shule.