Primary : Nguzo Primary (Morogoro)
secondary : St Francis de Sales (Morogoro) , Bishop Durning (Arusha)
Nasubiri nimuone School mate mwenzangu
sikufika mkuusekondari sijaona
Mtoto wa kishua....!
Mtendeni psPrimary:Mnazi mmoja primary school. Uwanja wetu wa mpira ni hapo anatoglo
majirani zetu walikuwa Jamhuri ps, kisutu ps na kuna kashule kapo upande wa kushoto ukitoka mataa ya dit nimekasahau jina, ila mtu akiniwekea majina matatu nichague nitapatia
Asante rafiki kunikumbushaMtendeni ps