Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Old Moshi mademu zenu walikuwa Mawenzi, hata hivo nao hawashikiki wana kibao walikuwa wanawachukua. Kibosho ndo walikuwa geti kali, hao wengine wa kishua kina Marry G na Eugene tulikuwa tunakula nao sahani moja likizo na kipindi cha mwishoni pale kwenye graduation kibao za clubs. Kuna watu walikuwa wanajilipua wanaenda vikao vya wazazi kutembelea mademu zao na kutoa hoja kwenye vikao. Kina Kifaru kule hamna kitu, ukija Machame kule wako mbali kiasi sema tulipewa connection nao sana yani, ingawa Umbwe ndo walikuwa hata Jumapili wanasali nao. Majengo ni chama la wana hawachagui mtu na wanajiachia tu. Kingine, kusema ukweli ni wakali ile mbaya.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu wewee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Ashira girls mkuu,tumezamia sana kule kipindi cha magraduuu yao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wa Mwanza SekondarI School na jirani zetu Pamba Sec
Enzi za Marehemu Mkono
Naam mwl alikuwa rafiki tu hajanifundisha ila alikuwa akinionyesha wanafunzi wake nashangaa wanamzidi umri na kila jioni lazima apate 1 moto afu hapotezi network Liberty hiyo
 
Mpka sasa sjaona alietaja shule nilizosoma toka vidudu mpka collee
 
Naam mwl alikuwa rafiki tu hajanifundisha ila alikuwa akinionyesha wanafunzi wake nashangaa wanamzidi umri na kila jioni lazima apate 1 moto afu hapotezi network Liberty hiyo
Ilikuwa ukiingia kwenye anga zake utajuta kumfahamu, siku moja nilichelewa kufika shule akanishika sijui alizubaa vipi nikamtoroka, akaanza kunitafuta mara pap macho kwa macho na Mkono, nikaanza kukimbia,acha anikimbize huku na huku sijui nilikanyaga vipi ngazi acha nibiringite kwenye ngazi, akaniacha nikabiringita hadi chini then akanifuata 'mtakuja kufa hivi hivi kwa ujinga wenu, eeh umeumia' viboko vikaishia hapo, kilichofata ni kupakiwa kwenye gari na kupelekwa bugando hosp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…