Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Yes wamemtoa 2017.. ikasemekana kapiga Sana hela
Kosa lililomtoa Ngoziye ni kufelisha. Mwaka huo Azania ilikua ni katika shule kumi za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne. Serikali na alumni wa Azania wakaja juu sana. Walimu kibao walihamishwa kupelekwa shule za kata
 
Mpaka sasa sijaona Legend mwenzangu wa Mvimwa Primary School au St Plasdus.

Au mmeamua kujificha
 
Shimbi primary school
Chemchem primary school
Majengo secondary
Ivumwe secondary
 
Mimi nawatafuta waliosoma Eckenforde Secondary School pale Tanga kuanzia 1999 mpaka 2002.
Kuna mdada mmoja alikuwa anaitwa Lina, nadhani alikuwa anatokea Dar, alikuwa mweupe sana kama mzungu hivi. Huyu nadhani alihama tulipokuwa form one.
Mdada mwingine alikuwa anaitwa Hidaya Ufuzo, jina la pili sina uhakika. Alikuwa anatokea Zanzibar nadhani. Alikuwa mnene hivi maji ya kunde. Huyu nakumbuka tulipokuwa form two mwaka 2000, alihama.
Kama mpo humu, tafadhalini nawatafuta sana classmates wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikusaidie kidogo but dont ask any more detail sina na sitokupa....
yule demu aliyekuwa kama mzungu ni mzungu kweli babaake alikuwa anafanya kazi British high commission mzungu na mama ake ni raia wa seyshels....alivyorudi bongo akahamia shule ya kishua na walikuwa wanakaa Msasani kwa warioba.....she became grown and sex baadaye walihamia Uk bye
 
Lise primary School
Enaboishu Secondari School
Kilosa Boys High School ( Kizu boys)
 
Hayahayaaaa jamhuri sec dodoma 2000-2003,Rutheran Junior Seminary Morogoro 2006-2009 mkuje
 
Nkundutsi primary ..kgm
Nkundutsi secondary..kgm
Kyela ice cool ..mbeya
 
Back
Top Bottom