2009 mkuu!!!Azania umemaliza mwaka gani
Dah shikamoo brother.ngoziye alikuwa Ni mkuu kipindi hiko?2009 mkuu!!!
Yes....Ngozi msela sana nasikia kawa fired pale.Dah shikamoo brother.ngoziye alikuwa Ni mkuu kipindi hiko?
Ngoziye kawa Mwl. wa kawaida Zanaki Sec wa somo lake lile la fine Art. Unawakumbuka Mganga, Sara Mwakyusa, na yule mwl. maarufu wa Kihaya Mlokozi?Yes....Ngozi msela sana nasikia kawa fired pale.
Kosa lililomtoa Ngoziye ni kufelisha. Mwaka huo Azania ilikua ni katika shule kumi za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne. Serikali na alumni wa Azania wakaja juu sana. Walimu kibao walihamishwa kupelekwa shule za kataYes wamemtoa 2017.. ikasemekana kapiga Sana hela
Mkuu na wew ndio ulikua mmoja wafanya fujo nini? Nazikmbuka vizuri[emoji23][emoji23][emoji23] St. Mateso. Vipi unakumbuka fujo za form 6 mwaka 2010 pale matthew's?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilibahatika kumuona mwalimu mwakalambo kama sikosei yule aliyekuwa anasifika saaana kwa kuchapa eti bado hajastaafu mpaka leo hahaaaaa
Ngoja nikusaidie kidogo but dont ask any more detail sina na sitokupa....Mimi nawatafuta waliosoma Eckenforde Secondary School pale Tanga kuanzia 1999 mpaka 2002.
Kuna mdada mmoja alikuwa anaitwa Lina, nadhani alikuwa anatokea Dar, alikuwa mweupe sana kama mzungu hivi. Huyu nadhani alihama tulipokuwa form one.
Mdada mwingine alikuwa anaitwa Hidaya Ufuzo, jina la pili sina uhakika. Alikuwa anatokea Zanzibar nadhani. Alikuwa mnene hivi maji ya kunde. Huyu nakumbuka tulipokuwa form two mwaka 2000, alihama.
Kama mpo humu, tafadhalini nawatafuta sana classmates wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huyo anayesema wa dar hata wewe ungemtafuta hahaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikuwa documenter narekodi matukio, tukaelekea dukani kubeba mazaga si wajua lili duka lilikuwa dirishani nondo tu bila viooMkuu na wew ndio ulikua mmoja wafanya fujo nini? Nazikmbuka vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23] kipindi hicho kwenye kaduka kuna madonati, vijoti, soksi nyeupe.[emoji23][emoji23][emoji23] Nilikuwa documenter narekodi matukio, tukaelekea dukani kubeba mazaga si wajua lili duka lilikuwa dirishani nondo tu bila vioo
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Nilibahatika kumuona mwalimu mwakalambo kama sikosei yule aliyekuwa anasifika saaana kwa kuchapa eti bado hajastaafu mpaka leo hahaaaaa
St Agnes chpole... LY 2001
(prmary school )