Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

Hivi hakuna aliyesoma Arusha Felix Mrema Sec.School humu??
 
Shule nimeisahau jina ila kulikuwa na fimbo nyingiiii halafu wanafunzi wabishiii!! Sikuwa na siti maalum,kukaa ilitegemea na ubabe.. akija mwalimu asie wa darasa husika akiulizia majina ya wapiga kelele kwa monta,monta mwenyewe alikuwa akijibu kuwa monta hayupo!!
 
Back
Top Bottom