Mjue uliyesoma naye Shule ya Msingi au Sekondari

aisee naona zile shule za kusoma kwa kwenda kwa gari la njano ndiyo nyingi. Mpaka sasa matokeo ni English Medium 2- Elimu bure 0. Elimu bure tuendelee kupambana tunaweza pindua matokeo.
Aisee ila nimeshangazwa hakuna hata mmoja niliyesoma naye.
 
Ngoja Na Mimi ni share sehemu ndogo ya Mapito yangu kwenye Elimu

Uhuru Primary Ilala 1975-1977
Mzee akahamishiwa Kibaha.
Mailimoja Primary 1977-8
Kibaha primary 79
Tumbi primary 1980
Nikamalizia la 7
Shule ya msingi chalinze 1981

Baada ya kuhitimu msingi
Nilipita shule hizi secondary

Kibaha sec
Nilifukuzwa kabla hata ya kumaliza unjuka
Nikaenda
Ifunda tec nikiwa 4m 2 tuliiba spare za karakana nikatimuliwa
Iyunga tec sikufanikiwa kumaliza kidato cha 4 Mzee akanichoka
Enzi hizo Uncle alikuwa mwalimu wa Tambaza Nikawa nasoma part time Mpaka nilipopata nafasi kwa mbinde Arusha day

Nikafanikiwa kumaliza elimu ya secondary
Kwa mbinde.... Hiyo 1986

Tag jina la shule uliyosoma secondary na primary.

1. Shule ya msingi ngaiti
2. Shule ya msingi chikuyu
3. Shule ya msingi heka

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya Advance yalikuwa matamu sanaa
A-Level Nilipita Kibaha tena na nikamkuta Mwl Mkuu yule yule aliyenifukuza kwa kosa la kumleta demu usiku kwenye dom za shule Enzi nikiwa njuka na yule demu alikuwa anakaa kwenye Kota za shirika la Elimu kumbe alikuwa ni Binti yake.
Mzee wa watu alikuwa na kinyongo bado nikaundiwa zengwe nikafukuzwa tena nikiwa 5

Nikaona kusoma si riziki na mshua alikuwa mkali sanaa
Hapo nika escape home na kuzamia kenya kipindi hicho kenya walikuwa mabepari.
Nikawa naosha magari na kubrush viatu vya wazungu. Mungu si Athumani kuna kizee cha UK kilikuwa na mashamba yake kakanichuka kakanipeleka huko Eldoret.
Nikawa napiga shamba wakati huo Habari ya home na shule nilikuwa sitaki kusikia kabisa.

Miaka 5 Mbele yule mzee alitembelewa na watoto wake.
Kufupisha history yangu ya Elimu

Mmoja wa watoto wake nilimkula ki masihara na mbaya zaidi yeye aliforce
Binti alipata UjauZito na hakuwa tayar kuniacha
Muhuni Nikapata bahati ya kuzamia UK kisa K tuu!
Mzee wa Binti alipata fadhaa sanaa.
Ikabidi anipeleke Kozi ili niendane na Binti yake na hapo ndipo milango yangu ya Elimu ikafunguka na Nikafanikiwa kusoma vyuo vikuu bora.

Binti alifariki akaniachia mapacha wa 2
Na baada ya miaka 15
2005
Ndipo nirirudi nyumban Tz baada ya zaidi ya miaka 10+

Mpaka sasa nafahamu
Kila kinachotokea ni mpango wa MUNGU na hutokea kwa Makusudio.
 
Uhuru Primary Ilala 1975-1977
Mzee akahamishiwa Kibaha.
Mailimoja Primary 1977-8
Kibaha primary 79
Tumbi primary 1980
Nikamalizia la 7
Shule ya msingi chalinze 1981

Baada ya kuhitimu msingi
Nilipita shule hizi secondary

Kibaha sec
Nilifukuzwa kabla hata ya kumaliza unjuka
Nikaenda
Ifunda tec nikiwa 4m 2 tuliiba spare za karakana nikatimuliwa
Iyunga tec sikufanikiwa kumaliza kidato cha 4 Mzee akanichoka
Enzi hizo Uncle alikuwa mwalimu wa Tambaza Nikawa nasoma part time Mpaka nilipopata nafasi kwa mbinde Arusha day

Nikafanikiwa kumaliza elimu ya secondary
Kwa mbinde.... Hiyo 1986

Maisha ya Advance yalikuwa matamu sanaa
A-Level Nilipita Kibaha tena na nikamkuta Mwl Mkuu yule yule aliyenifukuza kwa kosa la kumleta demu usiku kwenye dom za shule Enzi nikiwa njuka na yule demu alikuwa anakaa kwenye Kota za shirika la Elimu kumbe alikuwa ni Binti yake.
Mzee wa watu alikuwa na kinyongo bado nikaundiwa zengwe nikafukuzwa tena nikiwa 5

Nikaona kusoma si riziki na mshua alikuwa mkali sanaa
Hapo nika escape home na kuzamia kenya kipindi hicho kenya walikuwa mabepari.
Nikawa naosha magari na kubrush viatu vya wazungu. Mungu si Athumani kuna kizee cha UK kilikuwa na mashamba yake kakanichuka kakanipeleka huko Eldoret.
Nikawa napiga shamba wakati huo Habari ya home na shule nilikuwa sitaki kusikia kabisa.

Miaka 5 Mbele yule mzee alitembelewa na watoto wake.
Kufupisha history yangu ya Elimu
Mmoja
Shkamoo kaka
 
🙏
 
Naona wengi humu hawaja pata bahati ya kugawiwa madaftari bure

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom