The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Bwana mmoja aitwaye ABDUL MALIK mwalimu wa hisabati katika kijiji kimoja huko nchini india.
Bwana Abdul alijizolea umaarufu na kutwaa jina la utani kama TUBE MASTER kwa kile kinachodaiwa kuwa; kwa zaidi ya miaka 20 tangu 1994 amekuwa akiogekea kila siku kuuvuka mto Kadalundi ili kuhudhuria vipindi shuleni na hajawahi kukosa hata siku.
Alitumia tube ya tairi kuvukia mto huku nguo na viatu vyake akivihifadhi katika mfuko wa plastic. Pamoja na hayo, amekuwa akikumbana na matatizo chungu nzima katika safari yake hii ya km 12 kila siku kwa kukutana na viumbe hatari kama nyoka, uchafu mbalimbali ndani ya mto na hata hali tete ya ardhi.
Licha ya yote hayo bwana Abdul amekuwa mwaminifu sana kwa kazi yake hiyo kiasi cha kurisk maisha yake kwa ajili ya kufundisha hisabati.
FIKIRIA KIDOGO: Hali za wanafunzi wake na mawazo yao juu ya ticha wao ambaye iwe jua, iwe mvua msela lazima atinge class!😂😂