The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Ni kama tatizo la kidunia. Ni wakaidi kweli kweli😆Dah hao walimu sijui wana roho gani afu hawanaga hela kabisa......
Walimu wa mathe wanashida zao binafsi huko kichwani.Wanafunzi na walimu wenzake wanafikaje shuleni kwa miaka yote hiyo? si angehamia karibu na shule
Mkuu, sidhani kama ni mjinga kiasi hicho.Nimjinga TU Hata Kama inaonekana sifa !!! Kwanini asihamie Eneo ilipo shule?? Msomi Asië elimika!!!
madogo wanakua wajinga ticha asipokaza , anatengeneza watu wehu.Walimu wa mathe wanashida zao binafsi huko kichwani.
Umewaza vyema,lakini huwezi jua nini kinamfanya abaki huko,labda anafamilia na miradi isiyohamishika.Nimjinga TU Hata Kama inaonekana sifa !!! Kwanini asihamie Eneo ilipo shule?? Msomi Asië elimika!!!