Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

Mjue video vixen wa nyimbo ya Mapozi

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Video vixen wa mapozi anaitwa
Sikujua Mponda. Ni mbantu aliyelowea ulaya.

Video vixen wa ‘Mapoz’ anaishi huko Finland. Ni dansa na mmiliki wa shule ya uchezaji huko Helsinki.

Ni pisi ya viwango na maisha bora!!
IMG_9904.jpeg
 
Katika videos chache za mziki nilizowahi kuona hii nimeona haikuwepo chemistry kati ya huyu dada na Diamond...ni as if alikuwa anamuogopa Diamond

Chemistry haikuwepo kabisa...ilikuwepo maths tu
 
Na History kwa mbaaaliiiiii...🤣🤣
 
Sikujua Mponda ni mzaliwa wa Helsinki sasa ni vipi utuambie ni mbatu aliyelowea Ulaya?
 
Katika videos chache za mziki nilizowahi kuona hii nimeona haikuwepo chemistry kati ya huyu dada na Diamond...ni as if alikuwa anamuogopa Diamond

Chemistry haikuwepo kabisa...ilikuwepo maths tu
Alikuwa anaogopa kuwekelewa mimba [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom