Mjue Wakili Robert Denison aliyemsurubu Edwin Igenge Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Madini

Mjue Wakili Robert Denison aliyemsurubu Edwin Igenge Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Madini

Toka maktaba :

Ziara ya Biteko Lindi Kampuni ya Indiana yajisalimisha​

Tarehe : Aug. 20, 2019, 6:21 a.m.

View attachment 2698787

Na Issa Mtuwa Dodoma

Kufuatia ziara aliyofanya Waziri wa Madini Doto Biteko mkoani Lindi na Mtwara hususani wilaya ya Nachingwea na kuibua sintofahamu juu ya Kampuni ya Ngwena Ltd kuhusu ushirika wake na Kampuni ya Indiana kutoka Australia, suala hilo limefanya Uongozi wa Kampuni ya Indiana kupitia Mkurugenzi wake Bob Adam kuja nchini kukutana na Waziri wa Madini ili kujadili kuhusu ushirika wao na Ngwena Ltd.

Leo Agosti 19, 2019 Waziri Biteko amekutana na kuzungumza na mkurugenzi huyo kuhusu ushirika wao wa kuunganisha kampuni hizo bila kuijulisha wizara.

Waziri Biteko amembana mwekezaji huyo kwa hoja tatu zilizopelekea kutopatika majibu ya moja kwa moja kutokana na kuto kuwepo kwa mwakilishi wa upande wa pili wa wa kampuni ya Ngwena Ltd.

Hoja hizo ambazo waziri Biteko alitaka kufahamu kutoka kwa kampuni ya Indiana ni; mosi, makubaliano kati ya Indiana na Ngwena hayana taarifa kwa Wizara, ni kwa nini waliamua kuunganisha bila kuijulisha Wizara wakati kampuni moja ni ya Kitanzania na nyingine ni ya kigeni Mbili, Wizara inataka kuona makubaliano yao ya kimaslahi (fair deal) baina ya pande zote ili pia wizara ijue serikali inafaidikaje?

Na tatu, kampuni husika zinatunzaje shehena kubwa ya sampuli za madini bila kuijulisha Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ambayo ndio yenye dhamana ya utunzaji?

Aidha, waziri Biteko aliendelea kuibana kampuni hiyo ya Indiana kupitia mkurugenzi wake huyo kwa kumuuliza uhusika wake katika kampuni ya Ngwena Ltd huku Mkurugenzi wa huduma za Sheria wa Wizara ya Madini Edwin Igenge akimhoji ni tangu lini ushirika wake na Ngwena ulianza? Je, ni kabla au baada ya marekebisho ya Sheria ya Mwaka 2017?

Akitoa majibu kwa baadhi ya hoja na maswali, Bob Adam amesema Indiana ndio inayomiliki Ngwena Ltd na kufadhili kifedha na masuala mengine.

Kuhusu kabla au baada ya marekebisho ya sheria ya 2017 Adam hakuwa na uhakika wa moja kwa moja na alisema mpaka arejee kwenye nyaraka ili ajiridhshe.

“Kampuni yetu ndio inayo miliki Ngwena Ltd kwa maana Indiana inamiliki 60% ya hisa zote na ndio maana ninasema Indiana inamiliki Ngwena,” amesema Bob Adam.

Kutokana na hoja tatu za msingi kutopatiwa majibu ya kuridhisha kwa kukosekana kwa Uongozi wa Ngwena Ltd katika kikao hicho, Waziri Biteko ametaka kupangwa kwa tarehe nyingine huku akimtaka Adam kurudi tena nchini akiwa na uongozi wa Ngwena Ltd ili kufahamu kiundani juu ya makubaliano yao kwani mpaka sasa kampuni inayotambuliwa na wizara ni Ngwena Ltd na siyo Indiana.
Wiki iliyopita Waziri wa Madini alifanya ziara mkoani Lindi wilaya ya Nachingwea na kutembelea eneo la Nditi ambalo kampuni ya Ngwena Ltd imewekeza, moja ya mambo aliyokutana nayo ni uwepo wa makubaliano (Joint-Venture) kati ya kampuni ya Ngwena Ltd na Indiana kutoka Australia kinyume cha sheria na uwepo wa shehena kubwa ya sampuli za madini zilizohifadhiwa kinyume cha sheria
Inatia hasira SANA
 
Tusione fahari kusifia vya wengine. It is another form of mental slavery.

Siku zote mahakamani maswali ya cross examination Huwa na mtego sana, huwezi kujibu tu kama una rap. Kumbuka Inspector Kingai alivyokuwa anaenda maliwato kwenye ile Kesi ya Kina Mbowe.

Professor Mruma ni msomi mzuri sana, Wala hakuna hakuna shaka. Tattizo amepelekwa kushughudia vitu visivyo katika competence ya taaluma yake.

Pia alitumwa kwenda kutetea mambo ambayo watawala wetu waliyaharibu kienyeji kwa mikono Yao. Katika mazingira hayo huwezi kutegemea confidence iwe juu.
 
Wewe ndio umeongea sahihi
Very fair
 
Mkurugenzi wa sheria hajui sheria zake mwenyewe hadi kukaangwa namna hiyo, utafikiri yupo darasani kufundishwa sheria!

Kwanza yeye ndo alitakiwa kuwa na updated version ya hizo sheria na awe anazijua vyema, aelewe anachoulizwa ajibu moja kwa moja.

Asitetemeshwe na fluency ya huyo mzungu, anaweza kumwambia arudie au kutoa ufafanuzi zaidi kama hajaelewa anachouliza na pia ana nafasi ya kutafakari na kupitia kabla ya kumjibu, huwezi kuwakilisha nchi halafu unakuwa intimidated kirahisi namna hiyo.​

Sio intimidated , amekuwa overruned. sasa hii inatokana na lack of experience au expectation fulani ambazo amejiwekea akasahau kujiandaa.
 
Mkuu Mh. Lissu?! Kesi gani? Mh. Lissu huwaanababaisha polisi na mahakimu wa mahakama za wilaya ila ni mweupe sana

Kwa hiyo unasema watu wanao simamia au waliopewa dhamana internal judiciary lisu anawahangaisha?
 
View attachment 2698674

Robert Denison joined LALIVE in 2019 and specialises in international commercial and investment treaty arbitration, as well as public international law. He has a particular focus on the energy and mining sectors, as well as experience working on disputes in a range of other industry sectors, including construction, commodities, hospitality and the automotive industry.

Robert has worked as counsel in arbitration proceedings under most of the major arbitral institutional rules, including ICSID, ICC, LCIA, SIAC and UNCITRAL. His recent experience includes two ICSID arbitrations, each with amounts in dispute of c. USD 100 million, where he acted as counsel and advocate for the claimants. He has also worked as tribunal secretary in a dispute under the UNCITRAL Rules.

Since August 2021, Robert has been a member of the Executive Committee for London VYAP, an association for junior arbitration practitioners connected to London. He is also a member of several other professional associations, including the ICC YAF, LCIA YIAG, Young ICCA and London Young Mining Professionals.

Before joining LALIVE, Robert trained with Herbert Smith Freehills (2017-2019) which included seats in the firm’s international arbitration groups in London and Paris. Robert studied Law at Cambridge University (BA, 2016) and spent a year at the Universidad Autónoma in Madrid. He completed the LPC at BPP University, London (2017).

Publication

Five tips from disputes lawyers for parties considering third-party funding, Robert Bradshaw, Robert Denison, 2023

Financier Worldwide, Managing and Resolving Commercial Disputes 2023, p. 45-53

Impact of Radical Changes of Circumstances on Contractual Relationships Under Swiss Law and English Law: Tomato-Tomato?Robert Denison, Caroline dos Santos 2023, Business Law Review, Volume 44(2) (2023), p. 64-74

Third-Party Funding: EU Parliament’s Proposals for Regulation and their Implications for Arbitration

Marc D. Veit, Robert Denison, 2022

18 JUL 2023

PRESS RELEASE: LALIVE SECURES VICTORY FOR JUNIOR MINING COMPANIES IN ICSID ARBITRATION AGAINST TANZANIA

23 SEP 2021

London Very Young Arbitration Practitioners (VYAP) Executive Committee appointment

TAZAMA VIDEO CHINI
View attachment 2698715

Pia soma
- Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni
Wanasheria wetu wanachojua ni kuendesha kesi za michongo hapa nchini tena za kubambika
 
Mkurugenzi wa sheria hajui sheria zake mwenyewe hadi kukaangwa namna hiyo, utafikiri yupo darasani kufundishwa sheria!

Kwanza yeye ndo alitakiwa kuwa na updated version ya hizo sheria na awe anazijua vyema, aelewe anachoulizwa ajibu moja kwa moja.

Asitetemeshwe na fluency ya huyo mzungu, anaweza kumwambia arudie au kutoa ufafanuzi zaidi kama hajaelewa anachouliza na pia ana nafasi ya kutafakari na kupitia kabla ya kumjibu, huwezi kuwakilisha nchi halafu unakuwa intimidated kirahisi namna hiyo.​
Ndo muelewe kuwa ajira za nchi hii ni kuwajaza incompetent kwenye nafasi nyeti.

Na bado
 
Mkuu Mh. Lissu?! Kesi gani? Mh. Lissu huwaanababaisha polisi na mahakimu wa mahakama za wilaya ila ni mweupe sana
Graduate wa Warwick hawezi kuwa mweupe, hata professor wajackoyah anakiri Lissu alikua jina kubwa kule Warwick so obviously ana exposure kubwa na uelewa mpana ndio ambacho wasomi wetu wanakosa. Mtu katoka Kigoma kasoma degree UDOM ghafla yupo wizarani unategemea akifika ICSID ataongea Nini?
 
A siyo tatizo sababu watu wanakariri huwa siziamini, Kibatala wanasema class alikuwa wa kawaida sn lakini akianza kujenga hoja unaona kabisa huyu jamaa ni hatari, wakili mkuu wa serikali mimi amenifundisha secondary jamaa kwa kuandika ni hatari mpeleke kwenye kuongea hajui kitu na hajawahi kupata B plan B+ kidogo za kutafuta kwa torch yeye ni A tupu.
Ni nani huyo Wakili mkuu?
 
Hizo ofisi nyeti wanatakiwa wachukue watu kutuwakilisha, wapo watanzania wengi wazuri wana ofisi binafsi za uwakili....sasa kisa mtu ni mgurugenzi huyo mbio kuwahi posho....
Mfumo mbovu, wangepelekwa akina Shivji, Kibatala, Tundu sijui TLS n.k wangesaidia sn hata mtemi Chenge yupo vizuri sn, tatizo la nchi kuamini chawa zaidi
 
Graduate wa Warwick hawezi kuwa mweupe, hata professor wajackoyah anakiri Lissu alikua jina kubwa kule Warwick so obviously ana exposure kubwa na uelewa mpana ndio ambacho wasomi wetu wanakosa. Mtu katoka Kigoma kasoma degree UDOM ghafla yupo wizarani unategemea akifika ICSID ataongea Nini?
Kusema degree ya UDOM kwa maoni yangu kunadogosha tatizo. Proceedings za ICSID nimezitazama (sio clips) na bado naendelea, na wahusika kutoka team yetu na yao nimewagoogle. Wa kwetu wengi ni wanasheria wa UDSM na wengine masters Ulaya, kuna mmoja nimemgoogle Leo tu baada ya kumtazama ICSID, Yuko kwenye bodi ya kampuni kubwa tu, na kwenye makaratasi ana CV kubwa kimataifa na kitaifa kwenye maswala ya arbitration. Uhalisia unaacha maswali mengi. Pamoja na ugumu wa kesi unaoonekana Kwa upande wetu, pengine this is the best we have to offer. Maana hata ukiweka elimu aside, demeanor tu, body language, confidence kwenye uzungumzaji, kuweka mbele qualification zetu na kuitana honourable na senior counsel kila wakati, unajuliza ni jinsi gani tunaweza kupambana kwenye majukwaa kama haya kama hata majukwaa yenyewe na nuances zake hatuelewi.
 
Mfumo mbovu, wangepelekwa akina Shivji, Kibatala, Tundu sijui TLS n.k wangesaidia sn hata mtemi Chenge yupo vizuri sn, tatizo la nchi kuamini chawa zaid

Kusema degree ya UDOM kwa maoni yangu kunadogosha tatizo. Proceedings za ICSID nimezitazama (sio clips) na bado naendelea, na wahusika kutoka team yetu na yao nimewagoogle. Wa kwetu wengi ni wanasheria wa UDSM na wengine masters Ulaya, kuna mmoja nimemgoogle Leo tu baada ya kumtazama ICSID, Yuko kwenye bodi ya kampuni kubwa tu, na kwenye makaratasi ana CV kubwa kimataifa na kitaifa kwenye maswala ya arbitration. Uhalisia unaacha maswali mengi. Pamoja na ugumu wa kesi unaoonekana Kwa upande wetu, pengine this is the best we have to offer. Maana hata ukiweka elimu aside, demeanor tu, body language, confidence kwenye uzungumzaji, kuweka mbele qualification zetu na kuitana honourable na senior counsel kila wakati, unajuliza ni jinsi gani tunaweza kupambana kwenye majukwaa kama haya kama hata majukwaa yenyewe na nuances zake hatuelewi.
Au wamepewa madolari wanatuharibia kesi makusudi!🚬
 
Tnapenda sana makeke ya mataito na saasa tunaaibishwa mbele ya uso wa dunia. Sisi tunapopelekea ujumbe wa unaosema kutakuwa na Profesa A na Dr B., basi wao wanajiandaa kupambana na profesa na doctor. Sasa kama hao maprofesa na madokta wetu ndio hao wa mgao, basi wanabaki wanagalagazwa kama nyumbu aliyevamiwa na simba. Nimemsikia profesa aliyetuwakilisa anadai kuwa nilikuwa sijasoma document lote. Sasa wewe ni profesa gani unayewakilisha nchi halafu kumbe hata document zinazohusika na kesi hujazisoma. Ni afadhali wangetambulishwa kama Mr A badala ya kusema Professa A jambo linalomfanya mpinzani wake ajiandae kupambana na profesa ambaye ni uji tu.
 
Back
Top Bottom