Mjue Wakili Robert Denison aliyemsurubu Edwin Igenge Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Madini

Inatia hasira SANA
 
Tusione fahari kusifia vya wengine. It is another form of mental slavery.

Siku zote mahakamani maswali ya cross examination Huwa na mtego sana, huwezi kujibu tu kama una rap. Kumbuka Inspector Kingai alivyokuwa anaenda maliwato kwenye ile Kesi ya Kina Mbowe.

Professor Mruma ni msomi mzuri sana, Wala hakuna hakuna shaka. Tattizo amepelekwa kushughudia vitu visivyo katika competence ya taaluma yake.

Pia alitumwa kwenda kutetea mambo ambayo watawala wetu waliyaharibu kienyeji kwa mikono Yao. Katika mazingira hayo huwezi kutegemea confidence iwe juu.
 

Wewe ndio umeongea sahihi
Very fair
 

Sio intimidated , amekuwa overruned. sasa hii inatokana na lack of experience au expectation fulani ambazo amejiwekea akasahau kujiandaa.
 
Mkuu Mh. Lissu?! Kesi gani? Mh. Lissu huwaanababaisha polisi na mahakimu wa mahakama za wilaya ila ni mweupe sana

Kwa hiyo unasema watu wanao simamia au waliopewa dhamana internal judiciary lisu anawahangaisha?
 
Wanasheria wetu wanachojua ni kuendesha kesi za michongo hapa nchini tena za kubambika
 
Ndo muelewe kuwa ajira za nchi hii ni kuwajaza incompetent kwenye nafasi nyeti.

Na bado
 
Mkuu Mh. Lissu?! Kesi gani? Mh. Lissu huwaanababaisha polisi na mahakimu wa mahakama za wilaya ila ni mweupe sana
Graduate wa Warwick hawezi kuwa mweupe, hata professor wajackoyah anakiri Lissu alikua jina kubwa kule Warwick so obviously ana exposure kubwa na uelewa mpana ndio ambacho wasomi wetu wanakosa. Mtu katoka Kigoma kasoma degree UDOM ghafla yupo wizarani unategemea akifika ICSID ataongea Nini?
 
Ni nani huyo Wakili mkuu?
 
Hizo ofisi nyeti wanatakiwa wachukue watu kutuwakilisha, wapo watanzania wengi wazuri wana ofisi binafsi za uwakili....sasa kisa mtu ni mgurugenzi huyo mbio kuwahi posho....
Mfumo mbovu, wangepelekwa akina Shivji, Kibatala, Tundu sijui TLS n.k wangesaidia sn hata mtemi Chenge yupo vizuri sn, tatizo la nchi kuamini chawa zaidi
 
Kusema degree ya UDOM kwa maoni yangu kunadogosha tatizo. Proceedings za ICSID nimezitazama (sio clips) na bado naendelea, na wahusika kutoka team yetu na yao nimewagoogle. Wa kwetu wengi ni wanasheria wa UDSM na wengine masters Ulaya, kuna mmoja nimemgoogle Leo tu baada ya kumtazama ICSID, Yuko kwenye bodi ya kampuni kubwa tu, na kwenye makaratasi ana CV kubwa kimataifa na kitaifa kwenye maswala ya arbitration. Uhalisia unaacha maswali mengi. Pamoja na ugumu wa kesi unaoonekana Kwa upande wetu, pengine this is the best we have to offer. Maana hata ukiweka elimu aside, demeanor tu, body language, confidence kwenye uzungumzaji, kuweka mbele qualification zetu na kuitana honourable na senior counsel kila wakati, unajuliza ni jinsi gani tunaweza kupambana kwenye majukwaa kama haya kama hata majukwaa yenyewe na nuances zake hatuelewi.
 
Mfumo mbovu, wangepelekwa akina Shivji, Kibatala, Tundu sijui TLS n.k wangesaidia sn hata mtemi Chenge yupo vizuri sn, tatizo la nchi kuamini chawa zaid

Au wamepewa madolari wanatuharibia kesi makusudi!🚬
 
Tnapenda sana makeke ya mataito na saasa tunaaibishwa mbele ya uso wa dunia. Sisi tunapopelekea ujumbe wa unaosema kutakuwa na Profesa A na Dr B., basi wao wanajiandaa kupambana na profesa na doctor. Sasa kama hao maprofesa na madokta wetu ndio hao wa mgao, basi wanabaki wanagalagazwa kama nyumbu aliyevamiwa na simba. Nimemsikia profesa aliyetuwakilisa anadai kuwa nilikuwa sijasoma document lote. Sasa wewe ni profesa gani unayewakilisha nchi halafu kumbe hata document zinazohusika na kesi hujazisoma. Ni afadhali wangetambulishwa kama Mr A badala ya kusema Professa A jambo linalomfanya mpinzani wake ajiandae kupambana na profesa ambaye ni uji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…