Mjue Wakili Robert Denison aliyemsurubu Edwin Igenge Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Wizara ya Madini

Waambie Ccm wenzako wachague watendaji wenye uwezo ili wasisulubiwe huko ughaibuni na sio vyeo vya kubebana.
 
Mbona mnaleta habari za miaka 47,huyo Mkurugenzi wa Sheria alihama Wizara ya Madini toka 2021.
 
Haya mambo ya aibu sana, kijana kamvua nguo hadharani baba wa familia....🤣🤣
 
"Aliyemsurubu" ndiyo mdudu gani?
Your browser is not able to display this video.
 
Na wanatujua tunapenda makeke, wanahakikisha wanakuaddress kama professor ili kila anayesikia ayape uzito unayosema unaoendana na uprofesa wako. Ukivuruga ni ushindi mara mbili kwao
 
Kwa mikataba namna inavyokuwa drafted hata umpeleke lawyer wa GPA ya 5 na aliyesoma Cambridge, Yale, au Stanford Tanzania isingetoboa. Huwezi kusaini mkataba mbovu halafu uuvunje kipumbavu then eti upelekwe mahakamani then utegemee wakili akuokoe nope. Draft mkataba konki ambao unakulinda na uuvunje kwa kuzingatia matakwa ya sheria hapo ukipelekwa mahakamani sasa peleka huyo wakili msomi mwenye first class utatoboa mchana kweupeee. Tukubali tukatae Tanzania imezoea kusaini mikataba mibovu inayolinda maslahi ya upande wa pili huko upande wa Tanzania ukiwa haulindwi matokeo yake ndiyo hayo ukipelekwa mahakamani lazima ushindwe.
 
Mpaka kavunga kufa. Pambaf.


Makaratasi yake mwenyewe ka submit halafu hayaelewi.

Adui wa Tanzania ni ujinga.

Kama China huyo ni wakupigwa risasi. Mhujumu uchumi huyo.
 
Mkuu una mkumbuka Dr. Lamwai?
Huyo angekuwa yu hai angetufaa kwenye kesi kama hizi. Mara nyengine si lazima uwe profesa uweze kuwa competitive lawyer, hata degree inafaa ukiwa na brains na uzoefu.
 
Na wewe umekosea, si lazima mtu awe na A zote ndiyo awe wakili mzuri. Tatizo mikataba ndo imesema huruhusiwi kuvunja, na sisi tukakubali iwe hivyo kwa kupewa mlungula.
 
Profesa ambaye ni uji tu.
 
Halafu tukivunja mkataba muanze kusema tutashitakiwa MIGA
 
Professor alishindwa kusimamia taaluma yake akatoa data za uwongo wa wazi kabisa kuhusu makinikia anyway labda alitishiwa 🤣😂
 
alitumwa kwenda kutetea mambo ambayo watawala wetu waliyaharibu kienyeji kwa mikono

Ni kweli kabisa hata kesi hii Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25) inafanana viini (legal issues)/ mazingira yake ya madai na kesi kampuni ya Indiana iliyoshinda, serikali ya Tanzania ijipange kuanza kuweka fungu maalum kwa ajili ya contingency / madai ya wawekezaji.


 
Umaskini wetu Tz chanzo na sababu ni CCM;
Ulaghai ktk mikataba kwa sababu ya rushwa1
Ufisadi ktk mikataba!
Viongozi wengi hasa chama kukosa maadili!
Chama kuelemewa na mafisadi tena papa!
Viongozi wa Chama kutokuwa na hofu ya mungu
Viongozi wa chama kujaa ubinafsi, choyo na ulafi!
 
Kufuatia ziara aliyofanya Waziri wa Madini Doto Biteko mkoani Lindi na Mtwara hususani wilaya ya Nachingwea na kuibua sintofahamu juu ya Kampuni ya Ngwena Ltd kuhusu ushirika wake na Kampuni ya Indiana kutoka Australia,

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. John Pombe Joseph Magufuli, waziri wa katiba Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, waziri wa madini Dr. Doto Biteko, spika Job Ndugai, Bunge lisilo na meno waliwaburuza sana Prof. Abdulkarim Hamis Mruma pamoja na mkurugezi wa huduma za kisheria Edwin Simon Igenge na kulifanya suala hili la kisiasa zaidi bila kuangalia suala hili kisheria na kimataifa zaidi.

Hili la wanasiasa kujifanya wanajua sana, Alipata kuonya mwanasheria msomi Tundu Antipas Lissu kuhusu hali hii ya wanasiasa kuchagiza na kukurupuka kuingiza ushawishi na mikono yao katika masuala ya mikataba bila kuangalia mawanda (scope) mapana ya sheria za nchi na sheria za kimataifa.

Hatua hizo za wanasiasa wa kiTanzania zinapelekea kiasi sasa watumishi hawa wawili professionals dizaini ya Prof. A.H. Mruma na mwanasheria wa wizara ya madini msomi Edwin Simon Igenge wanaburuzwa mbele ya Mahakama ya Usuluhishi kuhusu hatua zao za kusitisha leseni za makampuni ya kimataifa.
 
Sio intimidated , amekuwa overruned. sasa hii inatokana na lack of experience au expectation fulani ambazo amejiwekea akasahau kujiandaa.
Hatari sana, wale wanaokuwa wamepata elimu majuu wanabanwa kupewa nafai nyeti kisa wivu wa kishamba......angalau wanakuwa wako exposed kwa hao wazungu na behaviour zao.​
 
Toka maktaba :
20 August 2019


Waziri wa Madini Doto Biteko kushoto akimueleza Bob Adam kulia mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Indiana kutoka Australia utaratibu wa kufuatwa katika kufanya ushirika (Ubia) kati ya Kampuni ya Ndani na ya nje ya nchi alipokwenda kuzungumza na Waziri kuhusu ushirika wao na Kampuni ya Ngwena Ltd
Wiki iliyopita Waziri wa Madini alifanya ziara mkoani Lindi wilaya ya Nachingwea na kutembelea eneo la Nditi ambalo kampuni ya Ngwena Ltd imewekeza, moja ya mambo aliyokutana nayo ni uwepo wa makubaliano (Joint-Venture) kati ya kampuni ya Ngwena Ltd na Indiana kutoka Australia kinyume cha sheria na uwepo wa shehena kubwa ya sampuli za madini zilizohifadhiwa kinyume cha sheria.


Indiana Resources : Compensation claim of AU$127m lodged against Tanzania


Market Screener | 26 July 2021
Indiana Resources : Compensation claim of AU$127m lodged against Tanzania
  • Memorial submission lodged with ICSID outlining quantum of compensation claim and damages against the United Republic of Tanzania for the expropriation of the Ntaka Hill Nickel Project
  • The Memorial provides the basis for compensation to the Claimants in the amount of AU$127 million, including interest which continues to accrue
  • Arbitral panel has confirmed the procedural timetable for arbitration - to conclude mid 2023
  • All legal costs funded through US$4.65m litigation funding facility
Indiana Resources Limited (ASX: IDA) (’Indiana’ or the ’Company’) provides the following update on arbitration with the United Republic of Tanzania over the expropriation of the Ntaka Hill Nickel Project ("the Project") and other breaches of the Agreement between the Government of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland and the Government of the United Republic of Tanzania for the Promotion and Protection of Investments ("UK-TanzaniaBIT" or "BIT").

As the majority shareholder in Ntaka Nickel Holdings Ltd ("NNHL") and Nachingwea UK Ltd ("NUK") (both incorporated in the United Kingdom) Indiana is the manager of the Joint Venture Project and is responsible for all activities with regards to the arbitration.

The Company is pleased to advise that NUK, NNHL and its subsidiary Nachingwea Nickel Limited ("NNL") (the "Claimants") have now filed their Memorial, a submission setting out its claims with ICSID (The International Centre for Settlement of Investment Disputes), an organisation that is part of the World Bank Group. The Memorial contains the basis for compensation to the Claimants for AU$127 million (US$93.7million), that includes interest which continues to accrue.

The Claimants retained Mr Travis Taylor of Versant Partners, London, as its quantum expert to quantify the claim. LALIVE is representing the Claimants in the arbitration process. A litigation funding facility for US$4,653,400 is in place with Litigation Capital Management Limited ("LCM"), a firm listed on the Alternative Investment Market ("AIM") of the London Stock Exchange. The arbitration case is heard by a 3- person tribunal and is expected to conclude in H1 2023.

Company Comment
Indiana’s Executive Chairman Bronwyn Barnes said: "Indiana continues to make positive progress in regard to arbitration with the Government of Tanzania. As the manager and major shareholder of the Ntaka Hill Nickel Project establishing AU$127 million as compensation for Tanzania’s expropriation of what was once our flagship project is a very important milestone.

With litigation funding in place that secures all our legal costs associated with arbitration, Indiana is adequately resourced and well supported to deliver a positive outcome for our shareholders, and we look forward to reporting on further developments in due course."
Indiana Resources Limited | ABN 67 009 129 560 | Suite 3, 339 Cambridge St, Wembley WA 6014
ASX code: IDA | T +61 (8) 6241 1870| E info@indianaresources.com.au | www.indianaresources.com.au
Next Steps
The Arbitral Panel appointed by ICSID convened their first session in April 2021. Subsequent to this session, the procedural timetable for arbitration has been confirmed and is expected to conclude in mid 2023.

Background to Claim
In July 2017, the Government of Tanzania amended the Mining Act 2010 by, inter alia, abolishing the legislative basis for the Retention Licence classification with no replacement classification.

On 10 January 2018, Tanzania published the Mining (Mineral Rights) Regulations 2018, which cancelled all Retention Licences issued prior to 10 January 2018 at which point they ceased to have any legal effect. The rights over all areas under Retention Licences, including the Retention Licence held for the Project, were immediately transferred to the Government of Tanzania.

During the time from January 2018 to December 2019, the Company actively engaged with the Tanzanian Minister for Minerals and the Mining Commission in an effort to resolve a suitable tenure mechanism for the Project Licence to be reinstated.
At all times Tanzanian Government representatives reassured the Claimants’ representatives, as well as Indiana Board members that visited Tanzania for the purpose of collaborative engagement with the Government, that their historic investment would be recognised and that their rights would be respected and protected.

On 19 December 2019, the Mining Commission of Tanzania announced a public invitation to tender for the joint development of areas covered previously by Retention Licences. The invitation provided that the successful bidder should compensate the previous Retention Licence holder for its exploration costs incurred. This public invitation was not sent to the Company or the Claimants but was advertised on the website for the Ministry of Energy and Minerals.

On 20 December 2019, the Mining Commission of Tanzania announced a revised public invitation to tender, which removed the condition that the successful bidder compensate the previous retention licence holder for its exploration costs incurred.

Through the measures described above, Tanzania has removed the ownership of the Project from the Claimants, and in doing so has breached its obligations to the Claimants under the UK-Tanzania BIT and international law. These include, but are not limited to:
  1. Tanzania’s obligation not to nationalise or expropriate the Claimants’ investments or subject them to measures having effect equivalent to nationalisation or expropriation without prompt, adequate and effective compensation under Article 5(1) of the BIT; and
  2. Tanzania’s obligation to accord fair and equitable treatment and full protection and security to the Claimants’ investment and not to impair by unreasonable or discriminatory measures the maintenance, use, enjoyment or disposal of the Claimants’ investment under Article 2(2) of the BIT.
Article 8(3) of the BIT provides that the Claimants may submit the dispute to ICSID if the Claimants and Tanzania are unable to reach an agreement concerning the dispute within six months of the dispute arising (in this instance from the date of the Claimants’ notice of dispute being 14 January 2020).
2
Indiana Resources Limited | ABN 67 009 129 560 | Suite 3, 339 Cambridge St, Wembley WA 6014
ASX code: IDA | T +61 (8) 6241 1870| E info@indianaresources.com.au | www.indianaresources.com.au
The Claimants have engaged LALIVE, an international law firm, to act on their behalf. LALIVE has offices in Geneva, Zurich and London, and specialises in international arbitration. The firm has extensive experience in international investment arbitration concerning mining and other natural resources and is representing investors and States as counsel worldwide.

The Company has also secured a Litigation Funding Agreement ("LFA") for USD4,653,400 with LCM - a firm listed on the Alternative Investment Market ("AIM") of the London Stock Exchange. The LFA will cover legal costs in bringing the Claim to Arbitration against the Government of Tanzania on a non-recourse basis, ensuring that costs relating to arbitration will not be borne by Indiana’s shareholders.

The ICSID Convention has been ratified by 155 States, including Tanzania. An award issued by an ICSID tribunal is enforceable in any one of those 155 member States as if it were a judgment of one of their own courts. Partly because of this, States have overwhelmingly and historically complied voluntarily with the payment terms of such awards.
Ends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…