Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
UTAMJUAJE WIFE MATERIAL?
Mchukue msichana umpeleke gheto halafu MPIME kwa kumpa jiko la mkaa lililo~lowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali mle mshibe ikifika saa 12 jioni Kama anakaa gongo la mboto mpe nauli 500 tu.
Akirudi tena kesho, MUOE kabisa huyo ni wife material usimuache
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji23]
[HASHTAG]#Angalizo[/HASHTAG]:mbinu hizi zilitumika miaka ya 1990's
Ukitaka kuwa bachelor hadi kaburini fuata huo ushauri
Saivi ni mwendo wa piZZA na smartPHONE
Post sent using JamiiForums mobile app