Mjue ‘Yesu wa Tongaren’ anayeogopa kusulubishwa na kukimbilia kujisalimisha Polisi

Yesu hajitokezi mpka sasa watu wamechoka kumsubri , wameamua wajitokeze wao , watu wanasoma lakin hawaelewi Wanatazama lakni hawaoni , ole wao kizazi hiki chenye kutaka ishara , hawatapa ishara isipokuwa ishara ya yona.
 
Kenya ndo uongoza KWA kuwa na kina yesu au mungu
 
Eti kwa sababu ya Neema ya Mungu na huruma kwa Waafrica, Mungu akamleta Yesu mweusi huko Tongaren. Hizi kashfa hizi? Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…