Mjukuu wa museveni ambaye anaandaliwa kuja kuwa CDF,2040.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
#UPDATE.
Pvt. Ruhamya Kainerugaba, who is the son of Gen Muhoozi is currently undergoing military training at the prestigious Royal Military Academy Sandhurst in the United Kingdom ,political analysts say he is likely to be a CDF in 2040.

-Nchi zetu za kiafrika kupachika majitu ambayo hayajui nchi ilisimamishwaje? (Wanaona tu ipo na inakwenda lakini hawana back ground ya taifa husika)

-Vyama vya upinzani wanachowaza ni kudandia uongozi wa taifa fulani jambo ambalo ni la hatari sana,

-Wanashindwa kujua nchi au taifa lenye itikadi za kisoshalisti serekali zao hupokewa/kurithiwa na chipukizi vijana waliolelewa ndani ya chama kimaadili waliofunzwa thamani na machungu ya taifa lao.
1000002697.jpg
 
Heri ya hao mtu anaandaliwa kabisa na atakuwa na nafasi hiyohiyo moja,kule Bosnia Mwana Mfalme hana cheo wala wadhifa wowote serikalini ila ndiye IGP,CDF,CAG,AG,Katibu Mkuu kiongozi ndiye anaongoza delegations za kila namna nchi ile.
 
Sasa hio Uganda ya Museveni si kama nchi nyingi tu za KiAfrica zinakuwa za kifamilia refer Cameroon,Gabon,Congo Brazaville, Kwa PK Mr Slim na hata Tz Serikali ya Ccm ipo chini ya familia Ile, ht SSH yupo answerable kwake, na kanisa katoliki saivi washatolewa Rasmi kwenye mfumo ndo maana wanapigapiga kelele japo sometime zinasaidia
 
#UPDATE.
Pvt. Ruhamya Kainerugaba, who is the son of Gen Muhoozi is currently undergoing military training at the prestigious Royal Military Academy Sandhurst in the United Kingdom ,political analysts say he is likely to be a CDF in 2040.

-Nchi zetu za kiafrika kupachika majitu ambayo hayajui nchi ilisimamishwaje? (Wanaona tu ipo na inakwenda lakini hawana back ground ya taifa husika)

-Vyama vya upinzani wanachowaza ni kudandia uongozi wa taifa fulani jambo ambalo ni la hatari sana,

-Wanashindwa kujua nchi au taifa lenye itikadi za kisoshalisti serekali zao hupokewa/kurithiwa na chipukizi vijana waliolelewa ndani ya chama kimaadili waliofunzwa thamani na machungu ya taifa lao.
View attachment 3597044
mbona ushikaji wake wa silaha ni tofauti na wenzake,au pozi la picha
 
Back
Top Bottom