Mjumbe ataka hati ya Muungano ipelekwe mezani

xing

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
203
Reaction score
31

Mjumbe wa Bunge Maalumula Katiba, Ezekiah Oluoch, ameuchambua Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba nakutaja kitendo cha wajumbe wa Bunge hilo kutokugawiwa hati ya Muungano kuwamoja ya kasoro kubwa zinazoukabili.
Akizungumza katikamahojiano maalumu na gazeti hili jana, Oluoch alihoji mantiki ya wajumbe waKatiba kujadili Muungano, wakati hawana hati ya Muungano iliyosainiwa nawaasisi wake; Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amani Karume.
“Mimi nililiona hilomapema, nikaenda kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema,nikamuuliza kama atagawa hati ya Muungano kwa wajumbe, lakini inaonekana hakunampango huo. Sasa tunajadilije Muungano wakati hatujui msingi wake,” alihoji.
Oluoch alisema nguzo ya Bunge la Katiba niMuungano na kwamba matunda yake yataonekana kama kumewekwa mazingira mazuri yakuujadili.

 
Copy original ni moja tuu, tena anayo Dr.Shein mezani kwake ikulu - namaliza quote :smile-big:
 
Hivi ni hii? Kama ni hii mods naombeni ruhusa kuitupia humu, niliyonayo ina kurasa 7. Na hii ni kurasa 1 and 7.







So Pasco unakataa kuwa hii sio Copy ya Muungano?
Mimi hii ninayo yote full page saba na Nimeipata Online lakini kwenye website za Nchi za wenzetu.

Narudia kama ni hii basi Niipakue Yote na watu wajionee.
 
Last edited by a moderator:
Sasa Hizi sahihi ni za Nyerere, Msekwa na Adam Sapi Mkwawa. Sasa Nyerere aliungana na hao?. Haaa haaa haaaa mbona mnachezewa vichwa na nyie mnataka kuchezea Watu vichwa
 
 
Copy original ni moja tuu, tena anayo Dr.Shein mezani kwake ikulu
Kama ndivyo ulivyoelezwa, jua umedanganywa!, hanayo!.
Mara baada ya kusainiwa, original zilikuwa 2, ya Nyerere na Karume with 8 copies of the original
  1. Copy Nyerere-labda ipo Butiama!
  2. Copy ya Karume-Labda ipo kwa Bi Fatma
  3. Copy ya Bunge la Tanganyika -haipo!
  4. Copy ya BLW-Haipo!
  5. Copy ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar-Haipo!
  6. Copy ya Mwanasheria Mkuu wa Tanganyika-kandoka nayo yule mzungu!.
  7. Copy ya Ikulu ya Bara-haipo!
  8. Copy ya Ikulu ya Zanzibar-haipo!.
Pia walitoa kopy iliyopaswa kupelekwa
  1. UN-Haipo!
  2. Nyaraka za Taifa-haipo!
My opinion, inaonekana kuna kith kilikosewa, wakakusanya copy zote hadi warekebishe!, hawakurekebisha tena na hazipo popote!.
Pasco
 
Haha... Nyerere angekuwepo naamini kuna vitu tusingethubutu kuuliza.

Yule mzee sijui alitulisha nini Watanzania. Inakuwaje hati ya muungano imesainiwa na yeye tu bila Karume, Mchanga akachanganya yeye tu bila karume then tunauita muungano?
 
Last edited by a moderator:

Pasco umeyajuaje hayo?
 
Mkuu Kibanga, hiyo sio Mkataba wa Muungano, bali ni "acts of the union!", iliyotungwa na Bunge la Tanganyika, kutunga sheria ya kuutambua Muungano ambayo ndio ratification ya muungano iliyofanywa na Bunge la Tanganyika!.

Yaani kulianza na
  1. Muungano ambao ndio Makubaliano ya Muungano "Articles of the Union"
  2. Akafuatia Acts of Union ku ratify hizo "Articles of The Union".
Hivi ni vitu viwili tofauti!.
Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…