Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Leo majira ya saa 3 asubuhi Viongozi wa bodi ya uwekezaji walikutana.Mmoja wa kiongozi mkubwa kabisa Kutoka upande wa bodi ya uwekezaji ameutaka Uongozi wake ufatilie simu za mwenyekiti wa wanachama kuanzia wiki mbili zilizopita [emoji23].