Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
Wanayanga wamefanya Jambo kubwa Sana Kukusanyika katika mapokezi Ya Hersi na Wachezaji Toka As Vital..
1-Wachezaji wamepata Deni..
2-GSM wamepata Deni na Heshima..
3-TFF wamepata Hofu na kukumbushwa juu ya Klabu inayoweza fanya Profesa akaonekana La 7 juu ya Yanga yake.
( *Hii Point siko Serious Wajumbe* [emoji16][emoji2946])
4-Uongozi umetambua Njia yao imepokelewa vipi *Ili wawe na Focus ya Kuendelea na sio kuishia Njiani maana Hata Zahera Alipewa Uchief na wanayanga ila Alitupiwa Makopo kabla hajatupiwa Virago na Wanayanga wale wale*.
5-Ni Tukio la kitoto lenye Maana kubwa , Matukio haya Yanaongeza Imani ya Uwekezaji na Hamu ya Wawekezaji wapya likienda Viral , ila linaongeza Interests ya Kufuatiliwa kwa Ligi na Soka la Taifa hili ambalo inawezekana Soko kubwa likaanza kuanzishwa kupitia Soka na Wanasoka watakaojitambua na kujiongeza Na Soka lao.
6-Ni Tukio linalochagiza Viongozi wa Klabu kuwa Juhudi za Utendaji na Delivery huleta *Appreciation* , Ambapo ni Jambo Kubwa la kulipigania katika klabu ya Wananchi na Wanachama kuliko Fame na Acknowledgement..
7-Soka linakua ila Utamaduni haufutiki... Hizi ndio moja ya sababu ya Hizi vilabu kuendelea kuwa Vikubwa na vyenye Ushawishi..
Kuna Fursa kubwa za Kibiashara Stahiki na Halali na zenye uwezekano wa kukua pamoja na Tasnia Ya Mpira kama Tutazingatia kutumia *Uhalisia wa Mazingira wa Nchi husika, Klabu Husika, Ubunifu na utambuzi wa Mianya Ya Bishara Pamoja Ushirikiano Stahiki na Weledi bila Kuamini katika Vita ya Utani wa Jadi kupitiliza*
Nane na Mwisho..
NGUVU YA PESA IMEENDA SAMBAMBA NA NGUVU YA UMMA.. [emoji16][emoji2946] *Siko Serious*
Hasa kwa Mazingira ya Maisha ya Watanzania
AKA *Watakushusha kama walivyokupandisha* [emoji16][emoji2946]
.
.
Hivyo basi..
Kongole Eng. Hersi kwa bahati ya Mtende .
Hilo ni Deni, Na litalipwa kwa Continuence na Focus na kauli mbiu ya Yanga Kwanza..
*Napata Taarifa nyepesi nyepesi hapa Kuwa Mtani Amepanga kuvunja Rekodi, Wao watawabeba Watu watatu kwa Mpigo Siku yao* [emoji16][emoji2946]
*Wajumbe msinichukulie Serious*[emoji1373]
*Mimi nimejisemea Tu*[emoji2946]