Mjumbe hauawi. Mwanamke huwa msafi kabla ya kuolewa, akiolewa mambo hubadilika

Don't generalise, kuna wanawake wanajua kubalance, pamoja na kuwepo watoto lakini usafi wao na mazingira yao ni wa kiwango cha juu sana. Uchafu ni asili tu na hulka ya mtu, inawezekana hukumchunguza ila hata alivyokuwa mwenyewe bado alikuwa mchafu.
Sure some women have it all together, sio hawa hopeless
 
Na wewe unawafubaza?
 
Hasa akiwa mama wa nyumbani
 
Naweza ila mwisho wa siku nitakuwa nimechoka kama mbwa, jambo ambalo siliwezi na silitaki!

Life inatakiwa iwe “Minimum effort, Maximum Enjoyment”
My dear kujikuta superwoman ukufe mapema ya nini? Get all the help you can. Happy wife happy life 😊 haupungukiwi chochote tena unalea mtoto na mume bila mastress
 
Kama umefanyiwa hayo na unampa mume kile anataka basi bora yako walau umejua upate nini ili mambo yaende.
Wengine uchafu ni nature yao, kukaa bila kukoga kutwa nzima kwao ni kawaida kabisa na unakuta wala hana shughuli yoyote basi mvivu kuoga na kujifanyia shuuli za usafi.
 
Wanawake wengi wanahitaji mafundo ya kujamiina hasa katika kipengele cha usafi kwanza mwanamke akienda hata haja ndogo au kubwa hana budi kusafisha kwa maji huko chini kwa sababu za kibailojia na kuepuka kutumia madawa yasiyoeleweka.
 
Don't generalise, kuna wanawake wanajua kubalance, pamoja na kuwepo watoto lakini usafi wao na mazingira yao ni wa kiwango cha juu sana. Uchafu ni asili tu na hulka ya mtu, inawezekana hukumchunguza ila hata alivyokuwa mwenyewe bado alikuwa mchafu.
Nimependa ulivomjibu hapa.Wakati mwingine uchafu na usafi ni asili Tu.Binafsi kabla na baada ya kupata watoto usafi wangu ni ule ule.Miaka yangu yote ya ndoa hatujawahi kugombana na Mme wangu kisa usafi.
 
Umeolewa na fala, yaani mtoto mmoja unataka wasaidizi wawili ningekua mimi mumeo nakutandika makofi.
 
K
Kuna ukweli 95% kwenye huu uzi wako. Hasa kwenye kugegedwa na kujifuta na kitambaa au leso au kuosha papuchi na kuondoka halafu hawaogi
 
Don't generalise, kuna wanawake wanajua kubalance, pamoja na kuwepo watoto lakini usafi wao na mazingira yao ni wa kiwango cha juu sana. Uchafu ni asili tu na hulka ya mtu, inawezekana hukumchunguza ila hata alivyokuwa mwenyewe bado alikuwa mchafu.
Mimi nina watatu na ukiniona kama nina 17 yes.... nimechagua tu kuwa mwanamke wa kiafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…