Mjumbe hauawi, ni Mwamba Heche na si mimi

Machoko mmezoea kupigwa miti kwenye makorido ya Lumumba ndio maana wananchi wameyakataa mabasha yenu.
Mimi ni Mtumishi wa Serikali mwenye cheo cha "Principal". Kwanza unaelewa maana ya "Principal" kwenye Utumishi wa Umma? Nisije kupoteza muda wangu bure!
 
Acha wivu kubali tu kuwa ushapigwa gepu kubwaa
Nimepigwa gepu na nani? Heche? Ahahahahaha!
Anakaa Majengo Mapya Mkolani nami nakaa huko huko. Mkewe ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kata na mke wangu ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kata. Mkewe ana drive na wa kwangu ana drive! Ahahahahaha!

Mimi nimemshinda mbali sana kwenye GPA ya chuo ila yeye kanishinda mbali sana kwenye kujulikana kwenye social media! Ila hilo halinitishi maana hata Mobeto Ndaro, Anko Zala na Mama Mawigi (Ogu womukai) wananizidi mbali sana kwenye kujulikana kwenye social media! Ahahahahaha!!
 
Kama wao wanabambikizia watu kesi na wanaona sawa, basi na wao wavumilie hizi lugha
 
Mavi mabichi au makavu?! Mtu kapewa vidonge vyake aisee.
 
Jinga wewe. Na wewe kichwa chako kimejaa mavi tu. Ndo maana mtu mzima una jipa jina la mtotot wa shule. na ndio akili yako ilivyo kama ya mtoto wa shule
 
Unaonekana una wivu mkubwa sana. Harafu wewe unaonekana bado akili kama ya mtoto wa shule kweli. Mtu mzima bado unaongelea GPA. Ahahaa ahaha aahaaa. Mbona umsemi huyo shangingi sa100 aliyepata zero form four. Na bado unamuabudu kama Mungu wako. Pumbavu wewe
Heche sio level yako kabisa wewe endelea kuongeza chuki mpaka upasuke
 
Jinga wewe. Na wewe kichwa chako kimejaa mavi tu. Ndo maana mtu mzima una jipa jina la mtotot wa shule. na ndio akili yako ilivyo kama ya mtoto wa shule
Nimerusha jiwe gizani na limekupata! Ahahahahaha!!
 
Saww.
 

Majengo mapya hiko mkolani wewe kweli ni ***** kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…