Mjumbe wa Basata MwanaFa Amruka ROSA Ree...Adai Hawezi Mtetea Nafsi Inamsuta

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51


MwanaFa Asema Rosa Ree Amestahili Adhabu BASATA, Hivyo Hawezi kujitokeza kumtetea

"Rosa Ree ni mdogo wangu lakini nafsi yangu itanisuta kama ntaenda kumtetea kutokana na video yake, nafkiri hata yeye hadhani kama ameonewa, me nafkiri tumuache atumikie adhabu yake" -: @MwanaFA

MwanaFA ni Mjumbe wa Bodi ya Basata kwa upande wa kuwakilisha wasaniii

Je Yupo sawa au alipashwa kuwa bega kwa bega kumsaidia kumtetea na kumuelisha ili isijirudie tena?

#RoundTable
 
HUU MJI MDOGO SANA ILA UNA MAMBO MENGI MNO
 
Tuheshimu tamaduni zetu!!!

Naona uzungu unatupeleka putaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…