Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wewe ni miongoni mwa watanzania wanaoamini kwamba SAMIA SULUHU HASSAN naye ana PhD?CHAMA HAKINA MVUTO TENA WATU WAMESHASHTUKA
Kwa hiyo miaka yote hiyo mlikuwa mnalea fisadiFisadi yeyote na mchumia tumbo hawezi kukaa Chadema
Ni kweli mkuu chama hakina mvuto kabisa, vitu pekee vyenye mvuto dunia hii ni Ccm pamoja na mkundur wako..CHAMA HAKINA MVUTO TENA WATU WAMESHASHTUKA
Tunamtakia uzima tele,Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa.
Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa Bodi ya wadhamini wa Chadema, Bi Mary ametanabaisha kuwa sababu ya kujiuzulu kwake ni za binafsi, akiamini kwamba kwasasa atashindwa kuitumikia nafasi yake vyema ndani ya Chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania.
Chanzo: Jambo TV
Mbwa mwitu aliyevaa vazi la kondoo huwezi kumjua,mpaka pale atakapoanza kuonyesha dalili za kukimbiza panya na nguchiro.ndo unagundua kwamba anatakiwa kutengwa kwenye zizi,maana akibaki atakula kondoo wenzake.Kwa hiyo miaka yote hiyo mlikuwa mnalea fisadi
Hapo ndipo mnapokosea. Mmekaa naye kwa miaka 15, leo amejiuzuku eti fisadi. Nadhani Chadema kama kitashika Dola, nchi itavurugika ndani ya usiku mmoja tu. Busara zenu ni za kisoda.Fisadi yeyote na mchumia tumbo hawezi kukaa Chadema
Hili la kutoheshimu maamuzi ya mtu na kuanza kuwatukana linawaharibia sana nyie chadema chakavu. Unajua anayopitia au unatukana tu wakati mtu amesema ana sababu zake binafsi? Mbona mnakuwa wajinga namna hiyo nyie?!!!Fisadi yeyote na mchumia tumbo hawezi kukaa Chadema
Ukweli ni kuwa hawa watu ni hovyo sana sana. Sijui inafikiria kwa kutumia mlango wa haja kubwa. Sasa wanamtukania nini'?!!!Hapo ndipo mnapokosea. Mmekaa naye kwa miaka 15, leo amejiuzuku eti fisadi. Nadhani Chadema kama kitashika Dola, nchi itavurugika ndani ya usiku mmoja tu. Busara zenu ni za kisoda.
Hawa watu kichwani hazimo kwa kweli.Kwa hiyo miaka yote hiyo mlikuwa mnalea fisadi
Lakini hicho chama mmekikuta nao hao mnaowaita mafisadi.Fisadi yeyote na mchumia tumbo hawezi kukaa Chadema
Sahihi ilitakiwa iandikwe chama kinachojiita chama kikuu cha upinzani.…Chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania.
Chanzo: Jambo TV
sasa chama hakina ruzuku ataishije?Kwa hiyo miaka yote hiyo mlikuwa mnalea fisadi
Mawazo ya chawa.CHAMA HAKINA MVUTO TENA WATU WAMESHASHTUKA
Chopa imepata kibali? Chama cha mvuto CHAUMMA kinaweza kupaki helikopta kule kule angani,wao washushe spika kwa kamba waanze kusema tutasikia tu halafu watuletee fomu ya malipo.CHAMA HAKINA MVUTO TENA WATU WAMESHASHTUKA