Majibu yenyewe wanayo basi?02 September 2025
CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM
KIMEUMANA! CCM WACHARUKA SONGWE, WAMJIBU VIKALI POLEPOLE, "NI MNAFIKI, ANALETA TAHARUKI NCHINI"
View: https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bIBaada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni za CCM kumnadi mgombea wao wa urais, Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa CCM asema Humphrey Polepole apuuzwe
usipomjibu maana yake umekubali ni kweliSawa sito mujibu
Tumeshampuuza siku nyingi02 September 2025
CHONDE CHONDE POLEPOLE ASIJIBIWE ASEMA KIGOGO WA CCM
View: https://m.youtube.com/watch?v=NqHXXRL3-bIBaada ya mazungumzo ya Humphrey Polepole kuwa gumzo na kufuatiliwa kuliko kampeni za CCM kumnadi mgombea wao wa urais, Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa CCM asema Humphrey Polepole apuuzwe
Tone tone vipi huko kamanda?!!! Imefikia kiasi gani?!! Ipo kibubuni?!!!Watajibu nini hapo?