GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Haran Sanga, achukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni

GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Haran Sanga, achukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Kigamboni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Haran Nyakisa Sanga, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu yq kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigamboni.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Leo Juni 28, 2025 amejiunga rasmi na wengine waliochukua fomu za kugombea nafasi hiyo muhimu ya uwakilishi wa wananchi kupitia Chama cha Mapinduzi.
Screenshot 2025-06-29 000353.png
 
Back
Top Bottom