Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

Hiv huyu aliachiaga ngazi ubunge,ujumbe wa chama na uwaziri wakati wa utawala wa Magu au kumbukumbu zangu haziko sawa?

In any how,bado amenionyesha ukomavu mkubwa wa fikra kwa kushiriki kwa karibu msiba huu mkubwa wa Taifa
 
Nyalandu anajielewa na amekomaa kisiasa.
 
On his way back to CCM.
 
Nyalandu kaenda kama yeye na kama mtu aliyefahamiana na jpm na kada wa sisiemu, ila kwa kua yuko chadema basi watasingizia kaenda kuwakilisha. Mwenyekiti yuko wapi?
 
safi sana ndugu zangu chadema hiyoo ndio siasa nilitamani mbowe awepo. ....
... mara hii mmesahau aliyofanyiwa Mbowe? Hata kama kisasi ni cha Bwana, ila mambo mengine ni mazito mno kwa nafsi zetu za kibinadamu kuhimili!
 
Vipi, yeye hakuporwa ushindi wa ubunge huko kwao kwenye uchafuzi wa 2020?

Nilitaka pia kuuliza kama Rev. Msigwa naye kaonekana huko; lakini najua anajiheshimu sana Revelend.
mchungaji Msigwa ni ndugu wa familia ya hayati JPM. Kuna kijana wa JPM ameoa kwa Msigwa.
 
Nyarandu ndo mwanachadema wajuu makini kabisa.
Mungu mbariki Nyarandu.
 
Lakini mbona hata JJ Mnyika ( katibu mkuu), Tumaini Makane ( Msemaji Mkuu wa Chama) , P Msigwa ( Mjumbe wa Baraza Kuu) na wajumbe wengine mbona wameenda kuaga mwili wa JPM.!! Sasa hizo chokochoko zako ni kama vile kwa chama cha chadema yeye ndio kiongozi wa kwanza kwenda msibani vile.
 

Lakini unajua kusoma ?

Amandla...
 
Ningetamani kumuona Mwenyekiti Mbowe huko msibani.
 
Jinga Kama jinga
Yupi, Superbug?
kwo CDM ndo wamesababisha tatizo laumeme jumulisha upumuaji kwa marehemu,?? Éti waje FBI yaani mpaka saizi hamjui kigogo nan afu majigambo mengi
Kigogo ana madhala gani? Mtu mwenyewe yuko busy mitandaoni wakati Serikali inaendelea kumjengea hospital, shule, barabara nk ili aandike vizuri

Hatusumbui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…