Dongo La Kiemba
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 1,830
- 1,263
Wengine sidhani kama wana nauli! Msiwalaumu bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv huyu aliachiaga ngazi ubunge,ujumbe wa chama na uwaziri wakati wa utawala wa Magu au kumbukumbu zangu haziko sawa?Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya hayati Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dr Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri.
RIP Magufuli!
ooho! Sugu ni mkomavu na anaona mbali.Sugu pia kaonekana viunga vya Chato!
So what!!?View attachment 1734557
Mazishi ya dikteta Jiseph Staoin yalihudhuriwa na umati mkubwa wa watu mwaka 1953 March 9
Siasa siyo uadui!ooho! Sugu ni mkomavu na anaona mbali.
On his way back to CCM.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya hayati Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dr Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri.
RIP Magufuli!
Hakika!On his way back to CCM.
kwo CDM ndo wamesababisha tatizo laumeme jumulisha upumuaji kwa marehemu,?? Éti waje FBI yaani mpaka saizi hamjui kigogo nan afu majigambo mengiCDM mnashangilia kwa maovu mliyofanya - FBI waje hata elfu lkn mwisho wa siku lzm muombe pooo
Nyalandu kaenda kama yeye na kama mtu aliyefahamiana na jpm na kada wa sisiemu, ila kwa kua yuko chadema basi watasingizia kaenda kuwakilisha. Mwenyekiti yuko wapi?Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya hayati Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dr Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri.
RIP Magufuli!
... mara hii mmesahau aliyofanyiwa Mbowe? Hata kama kisasi ni cha Bwana, ila mambo mengine ni mazito mno kwa nafsi zetu za kibinadamu kuhimili!safi sana ndugu zangu chadema hiyoo ndio siasa nilitamani mbowe awepo. ....
mchungaji Msigwa ni ndugu wa familia ya hayati JPM. Kuna kijana wa JPM ameoa kwa Msigwa.Vipi, yeye hakuporwa ushindi wa ubunge huko kwao kwenye uchafuzi wa 2020?
Nilitaka pia kuuliza kama Rev. Msigwa naye kaonekana huko; lakini najua anajiheshimu sana Revelend.
Lakini mbona hata JJ Mnyika ( katibu mkuu), Tumaini Makane ( Msemaji Mkuu wa Chama) , P Msigwa ( Mjumbe wa Baraza Kuu) na wajumbe wengine mbona wameenda kuaga mwili wa JPM.!! Sasa hizo chokochoko zako ni kama vile kwa chama cha chadema yeye ndio kiongozi wa kwanza kwenda msibani vile.Nyalandu ni mtu wa msimamo. Alienda kumpa pole Lissu wakati wenzake hawakuenda. Na kwenye hili inawezekana amefanya kile ambacho nafsi yake imemtuma. Lakini inawezekana pia kuwa ana baraka za chama chake kama ilivyokuwa kwa wakina Mnyika. Hilo nalo halitakuwa la ajabu.
Amandla...
Lakini mbona hata JJ Mnyika ( katibu mkuu), Tumaini Makane ( Msemaji Mkuu wa Chama) , P Msigwa ( Mjumbe wa Baraza Kuu) na wajumbe wengine mbona wameenda kuaga mwili wa JPM.!! Sasa hizo chokochoko zako ni kama vile kwa chama cha chadema yeye ndio kiongozi wa kwanza kwenda msibani vile.
Yupi, Superbug?Jinga Kama jinga
Kigogo ana madhala gani? Mtu mwenyewe yuko busy mitandaoni wakati Serikali inaendelea kumjengea hospital, shule, barabara nk ili aandike vizurikwo CDM ndo wamesababisha tatizo laumeme jumulisha upumuaji kwa marehemu,?? Éti waje FBI yaani mpaka saizi hamjui kigogo nan afu majigambo mengi